Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo kua asiendelee na alichokua anataka kukisema ama kuongelea jambo Hilo

Wakuu wa kupiga pini hamtaki watu wajue Siri za ulimwengu huu? Mnataka mfaidi wenyewe tu? Muwe matajiri wenyewe tu? Acheni hizo bwana. Acheni watu wafunuliwe waelewa waache kuishi kama mazuzu..

Mada za namna hii Kuna namna zinapigwa pini kitaalam zisitrend au zinapokea "maelekezo" kutoka kwa watu ambao hawataki kabisa mambo haya yaongelewe ili Siri ibaki Siri kwa wachache wafaidi...tuacheni tupate enlightenment

life is spiritual.
 
Ulimwengu wa roho/giza inataka akili kutulia ndo uielewe..
Shida inakuja mpaka watu wakuelewe inachukua muda sana.
Ni Elimu inayohitaji muda mrefu sana mpaka kuelewa sasa ukizingatia sisi weusi tunapenda shotcut tunataka mtu aeleze kwa ufupi na wafanyie kazi waone ukweli wake kitu ambacho si kweli eti ufupishe ili watu wapate kuelewe ni haiwezekani.
Kwanza mpaka kuufungua tu utandu wa kuone nje ya ulimwengu huu wa jua inachukua muda.
Ndo uje kuanza kufundishwa tawala koo na mambo mengine yasiyoonekana ni muda mrefu ni mpaka muhusika uwe unapenda fatilia mambo hayo.

Pili ni kweli kama umesoma kwa pupa juu ya ulimwengu giza halafu ukawa huna msimamizi wa kukuelekeza ambaye ni mbobevu ndo unajikuta unaingia kwenye maagano yatakayokulimit milele.
Na hii ndo wengi hupelekea kwa kupupia anataka utajiri anajiingiza katika miroho michafu mwishowe inamfunga/inamlimit baadhi ya vitu ndo unasikia ana masharti.
Lakini ukiwa master huwezi limitiwa na miroho bali wewe ndo utaicontrol.

Kuna wakati watu wanashindwa kuueleza ukweli wa mambo kwani ukisema ueleze unaonekana mchawi kulingana na dhana tuliyoaminishwa tokea udogoni na katika nyumba za ibada.
 
Shukran mkuu kwa ufafanuzi mkubwa..shida ya Sasa ni kwamba watu Wana "Nia" ya kujua mambo haya ama kuingia sababu kila mtu ana uhuru wa "kuchagua" Imani aitakayo ...ndio mana Kuna waabudu mabudha n.k..ila kumekua na matapeli wengi sana na watu bila kuona mbwembwe za mhusika wanajua ni feki..
 
Watu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
 
Mtza mpe habari za ngono mpira udaku udangaji fumanizi freemason hizi uendana na akili yake
 
Watu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
Noted mkuu na baada ya kuina nafanyaje nisione tena
 
Jf inalalamikiwa sana siku hizi, kuna kitu mods wanakosa.
Hizo nyuzi ni kweli baadhi hufutwa na nyingine wasimuliaji hupigwq biti kali.
 
Noted mkuu na baada ya kuina nafanyaje nisione tena
Ukisha pata majibu nawa uso.
Kabla ya kufanya jambo hili
Moja fanya sana meditation ili uzoe kuona vitu vya ajabu ajabu.
Pili jikinge usidhurike kinga rahisi ni kuchora duara kubwa kwa chumvi mawe kisha majivu ndo unakaa katikati.
Funga siku walau tatu/jizuie kula chenye kutokana na roho mfano nyama maziwa mayai na usifanye sex kwa siku hizo.

Hii ndo njia simple kuliko
 
Kuna namna ya kuziandika ili usionekane unatafuta fursa.. Mwanzoni hazikuwq na restriction... Lakini baada ya watu kulizwa sana ndio ikabidi zitupiwe jicho kali
 
Watu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
😂😂
 
Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.
 
Uchafu tu
 
Ndio hapo napojiuliza kwanini zifutwe..sababu Kuna maslahi flan yataguswa ya kwao wakijuaa ukweli ndio mana wanapata maelekezo ziondolewe

Tukirudi kwenye kufanya mwenyewe nadhan vyema sana wenye Nia mfano kama Mimi kuongozwa na mwalimu
 
Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.
✌🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 asante sana.. Ila sasa nimestaafu naandika fantasy zaidi
 
Back
Top Bottom