Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How?
Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k
Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri.
Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza kutoa ufadhiri wa harusi singo iwe 150,000/= eti aje ale siku Moja tu.
Hii Mimi naona ni utapeli masikini kama masikini navyojua hata kula kula yake ni shida,vaa yake ni shida hiyo Hela atatoa wapi kama hatauza shamba lake kabisa na Bado haiwezekani kufanya hivyo.
Mnaochangisha watu wa kumtindo huu acheni utapeli asee maisha haya magumu sana. Harusi Yako sio jambo la ghafla Hadi mtupangie Hela nyingi kiasi hicho.