matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma
Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi
Waalimu wa fedha uchumi wamekuwa wengi. Mitandaoni ni wengi zaidi
Semina za Miradi na ujasiliamali ni nyingi sana
Licha ya hilo vuguvugu hapa JF kufa baada ya kugunduliwa App ya Whatsapp duniani ila Elimu Kila Kona
Mambo ya passive income, UTT, Gov Bonds, Hisa na mbinu nyingi halali za kupata vipato bila kufanya kazi muda wote zinasisitizwa sana
Najiuliza kwa nini licha ya Elimu hizi nyingi Bado maisha ya ni yaleyale
Tunakosea wapi au walimu wanafeli wapi kwenye mambonhaya ya mafanikio?
Nini maoni yako
Ni hilo tu
Mtumishi Matunduizi