Nilijaribu uchawi nikashindwa.. Nikamrudia Mungu sasa alhamdullilahElewa Code halafu tembea nayo.
Na wote tuseme Amen🙏Nilijaribu uchawi nikashindwa.. Nikamrudia Mungu sasa alhamdullilah
Bila shaka alivunja na vilinge vyo. Nammkaribisha tena sana kwenye maisha halisi ya binadamu ya sala na toba.Na wote tuseme Amen🙏
Mungu ni mwema 😂Bila shaka ulivunja na vilinge vyote,karibu sana kwenye maisha halisi ya binadamu ya sala na toba.
Pia nasubiri zifunguke na mimi niambuli ambulie japo kidogo.Code ngumu sana
Na uzi ushakamilika!.Nimekuja nakimbia nizione siri za utajiri nakutana tena na code
We acha tu, unaona shida zinaenda kuisha unakutana na kitu kigumu zaidiNa uzi ushakamilika!.