USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI
Kuanzia sasa ninafanya usajili,
Kuanzia sasa ninajisajili,
Najiunga kwenye chama cha utajiri.
Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili,
Kila jambo nitafanya kwa kufikiri,
Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri.
Kwa nini nimeanza na akili?
Kwa sababu nilimsikia tajiri...