Katika kuelekea mwishoni wa mwaka jana kulikua na harakati za kutangaza utalii wa nchi yetu kutumia "celebrities" wetu wa Kitanzania. Katika kampeni wasanii wa filamu pamoja na wa Bongo fleva walihusika kwa kushirikiana na kiongozi wa Wizara husika. Mimi ni mdau wa utalii na ninajua utalii wa...
Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida.
Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari.
Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano.
Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
World citizen good morning,
Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
Watalii wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa. Wengi hutegemea credit cards kifanyike utalii na wanalipa kila mwezi.
Likizo huwa zinatolewa siku tano, yaani wiki moja; au siku kumi, yaani wiki mbili (ukitoa Jumamosi na Jumapili).
Sasa mtalii amechukua likizo ya siku tano anakwenda Mikumi National...
With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers.
Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa Serikali kupitia Waziri wake Hamis Kigangwala wanatakiwa wamuandalie Mapokeza makubwa sana ambayo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mdau wa sekta ya utalii na tunaleta wageni wengi tu hapo Makumbusho ila kutokana na aibu na fedheha kutoka kwa wageni tunaowaleta imebidi niliseme hili.
Choo kinachoonekana pichani kinatumika na wageni pamoja na wafanyakazi wa shirika la Makumbusho...
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii.
Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
Wakati Dk Hamis Kigwangalla akiambatana na wasanii wa bongofleva kuhamasisha utalii wa ndani, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoka kivingine.
Kwa kutumia fursa ya Tanzania kuandaa mkutano wa kimataifa uliowakutanisha wadau wa korosho kutoka kila pembe ya dunia, Waziri Hasunga ameviuza...
Vitalu vya uwindaji wa kitalii 71 kati ya 159 vilivyopo nchini vimerudishwa na wawekezaji licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kutokana na sababu mbalimbali ikiwapo kuyumba kwa biashara ya uwindaji wa kitalii.
Akizungumza na Mwananchi jana mjini hapa, kamishna mkuu wa Mamlaka ya...
Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imepitisha Sh75 bilioni za bajeti kwa mwaka 2018/2019 huku kipaumbele kikiwekwa kwenye utalii.
Kati ya fedha hizo, Sh65 bilioni ni za maendeleo ambazo zitahusisha miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi Louis, madarasa na vibanda vidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.