Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote.
Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili.
Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania.
Watalii wenyewe...
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato...
Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona.
Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine.
Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha...
Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
Inasemekana hadi sasa sekta ya Utalii ndio imepata pigo kubwa sana kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Corona.
Wataalamu wanasema nchi zinazotegemea sana utalii katika uchumi wake zitayumba sana hata baada ya ugonjwa huu kudhibitiwa. Inashauriwa Wachumi na wanasiasa waanze kubuni sasa mikakati ya...
Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka.
Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha...
Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii.
Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).
Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa...
Ulishawahi kusikia ujenzi holela?
Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti!
(Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!).
Hivi NEMC...
Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Nimesema kwa upande wa wanyama pori...
Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo.
Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea...
Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani.
Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.