Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.
Maana yake ni kuwa sisi...
Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA).
Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
Habari,
Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka.
Ninaweza...
Serikali kwa kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili iltoa orodha ya mahoteli yanayopswa kulipia vitanda siku nchi nzima na kumkabidhi Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mhede kuifanyia kazi.
Orodha hiyo ya mahoteli na nyumba za kulala wageni imo kwenye GN No 823 ya tarehe 2.10.2020. Orodha hiyo inapaswa...
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Blue Pearl iliypokuwa...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri.
Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi
kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box ,
tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii.
Jana wakati mchezo wa Leicester dhidi ya Arsernal kwenye uwanja wa Arsenal niliona matangazo yaliyosomeka "Visit Rwanda - the best...
Ni muendelezo wa kupambana na kubadilisha kila hali kwenye hii nchi na kuifanya fursa.
The Chalbi Desert dune belts
For many years, the mention of Marsabit County conjured up images of a forsaken place full of hostile residents, banditry, cattle rustling and poor infrastructure and...
Habari ndugu zangu, marafiki na watanzania kwa ujumla. Natumai muwazima wa afya tele.
Leo nitakwenda kuelezea umuhimu wa ndege katika taifa letu ambalo sasa linatambulika kimataifa na kupewa heshima kubwa sana baada ya kupata Rais mwenye maono na mpenda maendeleo.
Kabla sijaanza kuchimba kwa...
Nimemsikia Mgombea wa CCM akinadi sera zake na kuahidi kuwa serikali inao mpango kabambe ya kubadili ukanda wa ziwa kuwa wa kiutalii ili kuiongezea Serikali mapato nikafurahi sana kama mwananchi. Ni wakati mwafaka sasa kusambaza utalii kanda ya magharibi na kusini ili kutekeleza Master Plan ya...
Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.
Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
Tanzania reaps big as global gold prices soar to 9-year highs
Dar es Salaam. The rising prices of gold on the international market good news for Tanzania - what with latest figures showing that the country’s foreign exchange earnings from the mineral rose by close to $1 billion in...
Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere.
Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza.
Yote kwa yote namuunga mkono...
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akitoa Hotuba ya Ufunguzi katika Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.