Wakuu, natumai hamjambo!
Jana iliripotiwa kuwa Rais Samia ameanza rasmi kurekodi kipindi kinacholenga kutangaza utalii, waziri wa utalii anafanya kazi gani? Hana ubunifu mpaka mwajiri wake anaamua kubuni njia ya kuitangaza Tanzania kiutalii?
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.
Karibu uweke comment yako.
Huyu ni Lionel Messi wakati akiwa anawasili kwenye viunga vya Paris Saint Germain (PSG).
Hii video imepostiwa kwenye official page ya PSG yenye mamillion ya followers, video hii hii imetazamwa na wapenzi wa kandanda wengi sana duniani na media kubwa duniani za football kama skysport,bt...
Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya...
Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama wamiliki ( wanunuzi) kwani miradi hio hukosa uhalisia wa maisha ya watu wa chini.
Makampuni hudhani kuwa...
Hoteli mpya kabisa mkabala na Mahakama ya Kisutu iko sokoni baada ya biashara kudorora kwa 73%. Pamoja na sababu zingine COVID 19 yawezekana ni moja ya sababu.
========
City Lodge sells 148-room hotel in Tanzania for R1m, Kenyan hotels also sold
The City Lodge Hotel Dar es Salaam in Tanzania...
Umewahi toka matembezi ili kufuata msosi?
Vitu vidogovidogo maishani vinaweza kukuletea furaha sana. Mi nilikua natoka mpaka feri. Nikifika naingia mle wanakaanga samaki. Nanunua pweza wa moto au samaki yeyote mkubwa, tena bei cheap tu. Wananiwekea kwenye bahasha. Hapo naenda beach pale nyuma...
Chama Cha Mapinduzi kimesema kinathamini, kinaheshimu na kuuunga mkono uhifadhi wa maliasili na uoto wa asili katika hifadhi za taifa, mapori ya akiba na misitu nchini.
Pamoja na hayo kimesema uhifadhi endelevu unahitaji ushirikishwaji mkubwa wa jamii na uzingatie mahitaji ya msingi ya...
Habari wadau!
Ni muda sasa wizara zikajitathimini na kuwa wabunifu ili kumsaidia mama kuongeza mapato.
Nilikuwa nashauri serikali kupitia wizara husika kuangalia uwezekano wa kuanzisha utalii watu tukawe tunaenda kutalii chini kabisa ya bahari deep sea bila shaka kutakuwa na utamu wake maana...
Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona.
Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii.
Chanzo: ITV habari
About the College
Musoma Utalii Training College is a college registered by Ministry of Education, National Council for Technical Education (NACTE) and Vocational Education Training Authority (VETA). We are offering different courses as per society needs. The College is located near Bweri Bus...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu...
Mrisho Gambo akichangia Bungeni kwenye Bajeti iliyopendekezwa, ameielezea kutotoa ahueni yoyote kwenye sekta ya utalii iliyoyumba kutokana changamoto za ugonjwa wa Covid.
Amesema mchango wa utalii umeshuka kutoka asilimia 17.5 mpaka asilimia 10.7 na mapato yamepungua kutoka bilioni 584 mpaka...
Hivi unaweza kuamini hadi tarehe ya leo
Kuna kituo kimoja tu cha kuchukua sample za Korona kwenye Mbuga zote Tanzania. Wenzetu Kenya ka mbuga kadogo ( Masai Mara) kama robo ya Serengeti kanavyo zaidi ya 10 yaani jamani haingii akilini!!
Hicho Kituo kimoja cha Seronera ni private sector...
Ndugu Waziri,
Takwimu zinaonyesha kuwa katika mambo yanayochangia pato kubwa la nchi yetu ni utalii. Kwa hiyo hii ni sekta inayopaswa kuchukuliwa serious sana na kuwekeza kwa nguvu zote ili pato la nchi liweze kuongezeka.
Kwa hiyo ndugu Waziri huu ni muda muafaka wa ubunifu na kuja na vyanzo...
Dkt. Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii. Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh. Samia Suluhu akam-promote kuwa Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Aloyce Nzuki.
Kwanza mimi nampongeza kwa uteuzi ila...
Chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Arusha TCCIA, Kimeunga mkono jitihada zinazofanywa na halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuyaboresha maeneo yote yenye uoto wa asili ili kukuza kivutio cha utalii katika jiji la Arusha.
Akiongea wakati wa zoezi la kuboresha mazingira hayo lililoratibiwa na jiji...
Kuna udhalimu nimeuona chini ya jua, maskini akiwa na gunia lake moja la mkaa, auze asaidie familia yake, ananyang'anywa na wafanyakazi/askari wa maliasili, sambamba na kuchukua simu na baiskeli, maana ni vya thamani!
Mtuhumiwa anaachwa guru! (huo nao ni ubatili) Mtuhumiwa Hugo anapokwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.