Wanabodi,
Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...