Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
WAZIRI KAIRUKI: TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na...
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu...
Waswahili wanasema Tembea Uone!
Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake.
Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
Asalaam aleykum,
Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!....
Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina ya ARABICA.
Mnamo tarehe 16/10/2023 nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii kijiji cha Materuni...
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.
Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.
Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda.
https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ
===
Mhe. Rais Samia...
Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania.
Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia.
Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo.
Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor .
Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
Kuelimisha Jamii: Elimisha wakazi wa pwani na watalii juu ya umuhimu wa kutunza fukwe za bahari na mazingira ya baharini. Watu wenye uelewa zaidi wanaweza kuchukua hatua bora za kuhifadhi.
Kudhibiti Uchafuzi wa Bahari: Kuhakikisha kwamba maji taka na kemikali zinazotiririka baharini haziharibu...
Bodi ya Utalii imemkana Mwijaku 😂😂😂
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema haijamtumia wala kumtuma mtangazaji na mwigizaji, Mwemba Burtony maarufu kama Mwijaku nchini Ufaransa kutangaza utalii mitaani, akiwa balozi wa utalii kwa niaba au kwa gharama za Serikali.
Katika taarifa iliyotolewa na...
Bhisho Bulembu
Eastern Cape, Republic of South Africa
REKODI HII YA RAIS WA UAE MTAWALA WA ABU DHABI
Katika mwezi Aprili mwaka 2023 mji mdogo wa Bhisho Bulembu jimbo la mashariki la Cape ambapo kulikuwa na uwanja wa ndege pekee wa,nchi ya Bantustan nchini Afrika ya Kusini uliotelekezwa na...
MKUU wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amesema wanatarajia kufanya tamasha la utalii kwa lengo la kutangaza vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizoko katika ukanda huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Katwale, amesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika...
Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.
Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.
Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.