utalii

  1. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na utalii

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya utalii katika nchi yoyote ile. Utalii una jukumu kubwa katika kuunganisha jamii, kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na kuendeleza utamaduni wa nchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika sekta...
  2. Stephano Mgendanyi

    Milioni 214.3 Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Kivutio cha Utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru

    YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
  3. M

    Hit song ya Pcee- Kilimanjaro, Je wizara ya Utalii imeona mchango wake?

    Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media. Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa. Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na...
  4. mama D

    Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  5. Dr Msaka Habari

    Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) chatoa somo kwa Waratibu wa Matukio

    Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
  6. Upekuzi101

    Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Utalii Mary Masanja awainua kiuchumi wanawake wa Sengerema

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sengerema kwa lengo la kuwainua kiuchumi na fedha taslimu shilingi milioni...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja: Serikali Kuboresha Huduma za Utalii ili Kukuza Pato la Taifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi wa kuwafanya watalii ho kuongeza siku za kukaa nchini na...
  9. Lidafo

    Sekta ya utalii inatoa mianya ya kufanya na kufanyiwa ujasusi. Tuzibe mianya hiyo sasa na tuitumie sekta hii kwa manufaa ya taifa

    Usalama wa taifa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote duniani, Hii inajumuisha usalama wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo wote kwa Pamoja unajumuisha ujasusi wa kiuchumi, Kisiasa na kijamii. Nchi isipokuwa salama matokeo yake huonekana moja kwa moja kwa raia wake hivyo suala la usalama wa...
  10. stevenmakalla

    Bank inayofaa kwa biashara ya utalii ni ipi?

    Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii? Ukizingatia yafatayo 1. Makato nafuu 2. Huduma nzuri za kiofisi 3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k. 4. Smooth transactions Share your experience kuhusu good services ulizowahi kuzipata katika bank fulani.
  11. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Masanja aongoza kikao cha taasisi za wizara ya maliasili na utalii

    NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali kutangaza utalii kupitia mbio za Kilimanjaro

    NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
  13. B

    Pesapal yahimiza matumizi ya Teknolojia Sekta ya Utalii

    Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaban (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Pesapal, Bupe Mwakalundwa (wa pili kulia) na Meneja Mkuu wa Pesapal Emmy Rono (watatu kulia) jinsi ya kufanya malipo kupitia mfumo wa Pesapal badala ya fedha taslimu...
  14. N

    Je, ni kweli Royal Tour imesaidia kukuza utalii?

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS, Tanzania katika kipindi cha mwaka 2022 ilifanya vizuri zaidi katika sekta mbalimbali zenye mchango wa moja kwa moja katika maisha ya wananchi na pia katika pato la Taifa. Katika Sekta ya Utalii, kati ya Jan - Oct 2022, Watalii 1,175,697 waliingia nchini ikiwa...
  15. Determinantor

    Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

    Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
  16. SAYVILLE

    Rais Samia ameamua kuwasikiliza Simba suala la utalii kupitia michezo

    Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier. Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
  17. Happycuit

    Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  18. P

    Naomba kujuzwa gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire

    Shalom members. Naomba kufahamu gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire kwa kichwa. Thanks in advance.
  19. L

    Sekta ya utalii kimataifa kufufuka tena baada ya China kulegeza hatua za udhibiti wa COVID-19

    Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Tangu mlipuko wa COVID-19 ulipotokea mwishoni mwa mwaka 2019 na kesi ya kwanza...
  20. BARD AI

    Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
Back
Top Bottom