Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani
Aidha amezitaka...
Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii
Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara.
Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu!
Location: Iringa
Delivery: All regions
Call: +255 658 700 510
Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya.
Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo.
Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii.
Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani.
Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO.
Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe jambo la kawaida.
“Kamati imesema ndege za kukodi zimepungua kutoka 200 hadi 105, ifike kipindi...
Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani.
Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana.
Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan.
Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono.
Moja...
Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa.
Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia.
Tumetumia gharama kufanya Filamu...
"Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania".
Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutambulishwa rasimi nchini marekani na baadae...
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo
➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi.
Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na Bilioni 180.4 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida
Amesema Sekta hiyo imekuwa na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.