Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii.
Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
Kuna aina nyingi sana za utalii. Mwingine unatokana na asili ya eneo husika, historia, utamaduni, nk.
Dunia ya leo, utalii wa kisasa unatumia asili ya eneo husika na unaliongezea thamani kwa kutengeneza unique experience kwa mtalii anayekuja.
Tanzania tumebahatika kuwa eneo kigeographia ambalo...
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar...
Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar.
Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Ushauri umetolewa kwa mamkala za bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar kuzingatia ubora wa huduma wanazotoa ili kutengeneza mazingira mazuri ya utalii kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza soko la tasnia hiyo pamoja na kuongeza kipato kwa watu binafsi na Serikali kwa jumla.
Ushauri huo umetolewa na...
Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii.
Akiwa katika...
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb).
Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo?
Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kama muonavyo hapo pichani, huu ndio ukweli halisi kuwa huku nje watu wengi wamekuwa wakiifahamu nchi yetu kupitia mambo mbali mbali ya kitalii nk.
MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI"
Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi Mwezi July 2022 ongezeko la watalii limekuwa kwa 62% ambapo watalii wapatao 742,133 wameweza kutembelea...
Katika kuhakikisha mapato yatokanayo na utalii yanaongezeka, uongozi wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA) umeboresha miundombinu katika maeneo ya utalii.
Kaimu Kamishna wa (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema kwa kutumia fedha za bajeti ya maendeleo ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.