Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.
Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.
Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what...
Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.
Maoni yangu:
Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema...
Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
Tunawapongeza sana, wala hatuwabezi kuhusu royal tour. lilikuwa ni wazo na tukio lenye nia njema kwa nchi yetu, hasa kwa kumtumia mama yetu ambaye wengi wangependa kumsikiliza au kumuona, ni bidhaa adimu ambayo unaweza kuitumia kama nyenzo ya kuiuza Tanzania. lakini, baada ya hapo, napendekeza...
TRA Arusha mnakumbuka kesi hii
Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk
Tungerekebisha miji yetu ya...
Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii.
Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata watalii kwa mamilioni kwa mwaka.
Mfano Mzuri ni Nchi kama Ufaransa watu wanakwenda pale kuangalia tu...
Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view.
#Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa...
aibu
arusha
bongo
bongo movie
clouds
clouds fm
kilimanjaro
kubwa
kusema
mji
mlima
mlima kilimanjaro
movie
msanii
mwijaku
pekee
ulipo
utalii
wakati
watangazaji
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.
Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho...
Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa.
Barabara ni ya TANROADS tangu...
Habari za muda huu wapendwa, natumai Kila mtu ni mzima.
Acha leo niwaonyeshe uzuri wa mkoa wa Lindi, mkoa uliopo kusini mwa Tanzania. Watu wengi hasa kutoka kasikazini, magharibi au hata Kanda ya kati wanaweza wasiufahamu vizuri mkoa huu. Si ajabu mtu akakuambia hajui kama Lindi ni mkoa. Baadhi...
Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...
Wizara ya maliasili na utalii! Nimekuona bungeni Mheshimiwa naibu waziri ukijibu maswali kwa hisia nzuri ya kuendelea kuhifadhi mazingira na corridors na mazalia ya wanyama pori!
Kuna hiki kijiji kinaitwa Emboreeti wilayani Simanjiro! Ni eneo muhimu sana kwa mazalia ya wanyama pori hususani kwa...
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?
Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU.
Na Bwanku M Bwanku.
Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
daniel chongolo
dkt philip mpango
dondoo
filamu
gerson msigwa
kutangaza
muhimu
royal tour
samia hassan suluhu
shaka hamdu shaka
tanzania royal tour
tour
uchambuzi
usiku
utalii
uwekezaji
uzinduzi
wanyama
wazungu
Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.