utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Unajua nini kinaweza kutokea ikiwa mtu ana alama yako ya dole gumba au utambulisho wa mboni ya jicho lako?

    Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani. Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
  2. R

    Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  3. benzemah

    Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 2 wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya...
  4. S

    Utambulisho

    Habarini waungwana me mgen humu tupeane ushikiano
  5. JanguKamaJangu

    Balozi Kayola awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi. Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  6. JanguKamaJangu

    Balozi Kayola awasilisha nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi. Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  7. Mwl.RCT

    SoC03 Utamaduni wetu, Utambulisho wetu: Kuchochea Mageuzi katika Sekta za Utamaduni, Maliasili na Utalii

    UTAMADUNI WETU, UTAMBULISHO WETU: KUCHOCHEA MAGEUZI KATIKA SEKTA ZA UTAMADUNI, MALIASILI NA UTALII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni, maliasili na vivutio vya utalii. Sekta hizi zina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
  8. Tomaa Mireni

    SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  9. BabuFey

    Utambulisho

    Naitwa Mbwana a.ka Babufey naomba mnipokee ni mwanachama mpya ila msomaji wa JF kwa miaka kumi na tano,naona sasa nami niwe nachangia
  10. G

    Wanaokataa uchawi haupo na bado wanaenda makanisani na misikitini wana dini za utambulisho na kuzugia tu

    Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao. Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
  11. M

    Pamoja na Kipigo Kitakatifu cha Tunisia nauliza Utambulisho wa Jezi za Yanga SC haukuhusisha na Bukta zao?

    Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu. Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
  12. Fundi kipara

    Hodi Bandugu!

    Hodi Bandugu! Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, hivyo basi naomba ushirikiano wenu humu. Wadau wa mitandao ya kijamii msogee PM tupeane ushirikiano 🙏.
  13. Khroosb Musombwa

    Utambulisho

    Hi Mimi naitwa Khroosb Musombwa
  14. M

    Utambulisho wa Kampuni Mpya

    Hello..! I, on behalf of the Southern Coast Company LTd, am writing this message to you to introduce our company Southern Coast Company LTd that is one of the leading Finishings Companies today. We are different from other companies as we provide timely and unique services to our respected...
  15. sepema

    Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Nawasalimu nyote Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013. Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa wawili hawa wakajikuta niwapenzi. Mapenzi yalivyokolea wakaamua waoane kimjini mjini.Yaani waliishi pamoja bila...
  16. N

    Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

    Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ila kila...
  17. Quince de Junio

    Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  18. Lady Whistledown

    Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  19. Clark boots

    Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  20. Kasomi

    Je, Tanzania tunatambulishwa kwa kipi? Nchi yangu inapoteza utambulisho

    Tanzania Yangu ya sasa imekosa alama yaani haina Identify kabisa. Je, ni nini alama ya Taifa letu kwa mgeni? Kwa mfano mgeni akitoka Marekani, China, Hispania au Ufaransa je, atatambua vipi hapa amefika Tanzania? Ukiingia China utakuta Maandishi ya kichina Kwenye Mabango, hivyo hivyo ukienda...
Back
Top Bottom