Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni.
Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,,
MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
Sabaya aliwahi kutumia kitambulisho Cha TISS akabainika ila kesi yake ikafutwa akateuliwa kuwa DC
Shinyanga amekamatwa Mwalimu mwenye kitambulisho Cha JWTZ pamoja na official documents za chombo hiki nyeti akituhumiwa kufanya utapeli.
Uhamiaji tumeona hivi karibuni wakitoa adhabu huku...
Binafsi leo nimepata fursa ya kufuatilia kwa njia ya television sherehe za uapisho wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda huko jijiji Kampala.
Kuna jambo binafsi limeniacha na maswali kadhaa nikijiuliza.
Wakati Rais Museveni anatoa utambulisho kwa wakuu wa nchi (Head of state) walioudhuria...
Habari zenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc.
Naomba kuwasilisha.
Wasalaam wakuu
Pope Audiance Hall
Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji iliyoimarishwa vyema na mbunifu wa Italia Pier Luigi Nervi na kukamilika mnamo 1971
Lakini katika...
Utambulisho
Habarini wakuu, kama title inavyojieleza hapo juu Mimi naitwa Mr Zed ni Member mpya hapa JF, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai hadi sasa tunapoelekea kumaliza Mwaka huu 2020, lakini pia nipende kuwashukuru sana wanamember wote wa JF kwa mada mbalimbali...
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021
Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo.
Tarehe 23 Novemba 2020...
Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni
1. Bw. David William Concar, Uingereza
2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan
3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland).
Maneno ya Balozi wa Uingereza
Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi...
Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu.
Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwenye pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza Round basi apewe.
Baada ya hapo ni maigizo tu. Yani Shafii anawafundisha jins ya Ku-Act mpaka radha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
Wadau napenda kusema hodi hapa jamvini, mimi ni mmgeni wenu, lakini si mgeni wa jamvi la jamii forum, nilikuwa napata yote ya jamvini kwa kupitia njia nyingine.
Kwa maana kusoma kwa kubrowse bila kuwa na akaunti ya hapa jamvini. Sasa rasmi nimejiunga nanyi kuendeleza kugurudumu la kupashana...
Ni member mpya hapa jf naamini tutashirikiana kujuzana mengi na kufundishana nitakuwa naleta makala mbalimbali za michezo na nmeshaandika moja kuhusu Ronaldinho Gaucho chukua muda wako kuisoma Ahsanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.