utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6

    Taarifa: Aina mpya ya utapeli mjini

    Nadhani hata humu ni mahala sahihi pakutolea taarifa hii: Kumekuwa na wimbi la utapeli unaofanyika na watu wanaojipambanua kuwa wanahusika na kampuni ya usambazaji wa mayai ya kisasa, watu hawa huwaambia wateja watume fedha nusu kwa kiasi cha idadi ya tray za mayai wanazotaka then nusu...
  2. IBRA wa PILI

    Rafiki alivyotapeliwa kishirikina

    Wasalaaam na wasalimu wakuu sio mwandshi mzuri makosa muyapotezee. Twende kwenye kisa mwaka 2015 niliingia nchini msumbiji nilikwenda kwa rafik angu alikua anafanya kazi zake uko alikua na duka na ishu zingne, ila sehemu iyo ni mgodini uko sitaji sehem gani ila iz ni baazi ya sehem ambazo watu...
  3. Sibonike

    Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

    Bila kuwakosea heshima, nimekuwa nikijiuliza kwa nini wengi wa wanaoingia mkenge kwenye michezo hiyo ni Walimu- wastaafu na waliopo kazini. Busara ya kawaida inaonyesha wangekuwa ndiyo waelewa wa kuwastua wengine wasiingie kwenye mitego hiyo. Tatizo liko wapi?
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Unyonyaji na utapeli wa madhehebu ya dini

    UNYONYAJI NA UTAPELI WA MADHEHEBU YA DINI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Angalizo; Makala hii inaweza isimfae kila mtu, hasa wale watu waliofunga fikra zao. Ikiwa wewe ni mmoja wao watu hao, tafadhali usisome jumbe hii. Lau kama unahitaji ukombozi wa Kifikra, uwanja ni wako. Kila mmoja ana...
  5. goldcall

    Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

    Kichwa chajieleza, HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
  6. Nafaka

    Theranos - Utapeli na Uongo ambao hata wasomi wakubwa na wanasanyansi waliuamini

    Mtu yoyote aliyepata kukutana na mwanadada Elizabeth Holmes, atagundua kwamba uwa hapepesi macho mara kwa mara. Mwaka 2016 alipoulizwa, ni kitu gani angependa kuona kikitokea kufikia mwaka 2025. Homes alijibu, "Watu wengi hawakumbana na changamoto ya kuwaaga wapendwa wao." Alimaanisha kwamba...
  7. jingalao

    NEW ZEALAND: Chama tawala chapata ushindi wa kishindo

    Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
  8. N

    Uchaguzi 2020 Ndugu Zitto wakati unagombea mwaka 2015, uliahidi kutoa mikopo kwa vijana hususani waendesha pikipiki

    Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini. Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
  9. Infantry Soldier

    Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la (7) tu kwa sababu ya umasikini wa nyumbani kwao wakashindwa kuendelea na masomo. Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu...
  10. Rajabu Quimberlry

    "Utapeli kwa njia ya mitandao" (akili yako ndiyo msaada wako dhidi ya utapeli)

    Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman. Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato, wantanzania wenzangu wanavyo tiririkwa na jasho lao kutafta mahitaji yao kwa nguvu zao na kwa njia...
  11. F

    NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

    Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
  12. W

    Je, Serikali/Viongozi wanahusika na utapeli huu wa Q-Net?

    Kuna hii kitu kinaitwa Q-Net, watu wanashawishiwa kuuza mashamba, kukopa kazini na kuacha ajira. Sasa hivi ofisi nyingi zipo Kimara. Najiuliza kuna mkono wa nyuma wa serikali kama njia mojawapo wakukusanya mapato? Clips nyingi za uhamasishaji ni za Makonda na viongozi wa serikali, jamani...
  13. YEHODAYA

    Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  14. B

    Hii ndio janja na utapeli wa wanaojidai kuunganisha kuona mawasiliano ya mpenzi wako

    Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake. Hii maana yake NI nini? Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba atakacho kifanya NI kuanza kuku intimidate kwamba ataenda kuexpose Siri hiyo Kwa mwenye namba kuwa...
  15. Suley2019

    Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  16. Cannabis

    Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

    Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni. Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa...
  17. Mkogoti

    Utapeli kama huu ukitapeliwa, utapata msaada wapi au ndio utalala nacho?

    Habari wakuu Mimi mzima kabisa wa afya Natumaini nawe pia huko mzima kabisa, bado Tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu Mpendwa Mh. William B. Mkapa R.I.P 😞🙏 Ipo hivi wakuu, nipo nawaza kitu ambacho kipo ubongoni mwangu nimekifikiria tu ghafla. Ipo hivi Huku Maeneo ninapoishi jina (kapuni)...
  18. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

    Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini...
  19. AbuuMaryam

    Mnada Poa ni Tatu Mzuka iliyobadilisha jina

    Hawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI) Na wanatumia media kwa nguvu kubwa. WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA KIPINDI KUJIELEZEA WAMEFANYA NINI MIAKA MITANO. TENA WAKATI HUU wa uchaguzi. Media hizi zinatumika...
Back
Top Bottom