Hey guys salamu nawasalimu habari ya nyinyi?
Naomba kuuliza wakati nipo net naperuzi kuna page imefunguka kuna maelezo nimejaza then vikatokea vibox nikabifungua ikatokea iPhone 11 wakaniambia nimeshinda kuipata hiyo gift nijaze details zangu including bank card number hii iko vipi? Code...
Huu ni ushauri wa bure.
Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.
Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.
Kupiga picha na selfie kwenye...
Mpaka kesho hakuna dawa ya mafua na limekuwa tatizo la waafrika/dunia from time immemorial. Leo anatokea tapeli anawadanya mnachukua ndege kwenda eti kuchukua dawa!
AIDS imeua mpaka leo na ahueni ilipatikana baada ya USA scientists kuleta ARV! Mitishamba imetumika sana ikaonekana hopeless, watu...
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu.
Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
Acheni kuwasumbua wazee wa watu. Leo masikini wazee wanakwenda kutafuta hela zao bank wanaambiwa hakuna hela kwa vile hamjahakikiwa. Hamjawahi kutoa notice ya uhakiki kwa mwezi wa January, 2020, mnategemea mtu atapataje taarifa.
Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue...
Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
Ni kijana ambae hapo nyuma amepata kufanikiwa kwa haraka sana na kuishi maisha ya juu sana na kukiri kuwa na uwezo wa kutengengeneza takribani milioni 9 kila wiki, Ilifikia kipindi akanunua gari ya kifahari aina ya BMW X6, sijui kama ilikuwa ni bahati mbaya au maksudi kimaslahi hio gari ilikula...
Habari za wakati huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet.
Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.