Habarini ndugu zangu,
Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa huduma za afya nchini kwetu hasa kwa wagonjwa waliolazwa ambao hali zao sio nzuri.
Ni wiki sasa nimempoteza mama yangu mdogo na mtu wangu wa karibu sana hapo Hospitali ya Mloganzila, kwa kile ninachohisi ni...
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote...
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda.
sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja.
zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi .
KWA HISANI YA...
Wakuu
Nilipata wasaa wa kumtembelea kada mkongwe sana wa chama chetu Cha mapinduzi juzi huko isimani mkoani Iringa,tukapata wasaa wa kujadili mawili matatu juu ya mwenendo wa chama chetu kuelekea uchaguzi mkuu 2025!
"Kanuni tulizotumia mwaka 2015 wakati wa uteuzi wa hayati jpm ndizo...
Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake
Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu
Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
UTANGULIZI.
👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania.
👉Baada ya kumaliza...
Saa chache tangu Mwanachama wa JamiiForums.com alipolalamikia juu ya mchakato wa ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo, akidai unafanyika kiholela bila kuzingantia hatua za kiusalama, hatua zimechukuliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA).
Kuhusu hoja ya memba, soma hapa ~...
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma.
“....Serikali tarehe 16 Juni 2023 kupitia Wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Prof. Makame Mbarawa by then, ilisaini mikataba saba...
Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo".
Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua.
Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
Anonymous
Thread
barua
changamoto
halmashauri
kazini
kuchelewa
moshi
mtumishi
utaratibu
wakati
watumishi
wilaya
Umofia kwenu bandugu wote kwenye hiki kilinge chetu cha kujidai. Nina ombi kwenu wadau.
Nina mpango wa kuandaa tamasha la stand up comedy huku mkoa ninaoishi, nimeiona hiyo fursa naamini nitapiga hela.
Sasa ombi langu kwenu ni mwenye uzoefu wa uandaaji wa event za namna hii naomba anisaidie...
Habarini wanajamvi; wema na wabaya wa mada hii!
Nauliza kama mzazi nina uhuru wa kumkaririsha kidato cha pili mtoto wangu aliyefaulu mtihani wake wa kidato cha pili (FTNA) kwa vile hakufaulu kwa viwango nivitakavyo mimi na vya kumsaidia maisha yake?
Yaani, kwa mfano, mtoto kapiga A na B masomo...
Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio!
Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.