Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben...
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao.
Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
30 April 2024
Morogoro, Tanzania
Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru
https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY
Matendo ya serikali yetu
Uasi wa 1964 majeshi
Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
bara
hati
hati ya kusafiria
hoja
issa
kichwani
kuingia
kurejesha
kusafiria
kutumia
mbunge
muda
muungano
utaratibu
watanzania
watanzania bara
wazanzibari
zanzibar
Habari wanajukwaa,
Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia?
Natanguliza shukrani.
Sijui ni lini hii Poverty Mentality itaondoka ndani ya Vichwa vya Watanzania. Yaani unakutana na Mtu ana Simu ya Thamani Kubwa sana na ya Kisasa ( tena Boss mahala fulani ) halafu tena unamkuta ana Kasimu ka Shilingi Efu Aobaini au Elfu Thelathini na ukimuuliza kwanini ana hiyo Simu atakujibu...
Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka.
Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu.
Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
Habari!
Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school).
Kijana analelewa na Bibi...
Wakuu heshima kwenu
Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa.
Jee, ni sawa kama...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
“Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:-
Namba za Ajabu
Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
Wakuu habari za jioni.
Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.
Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara.
Barabara tunaipenda ila ni walipe...
Wadau,
Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.
Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake
NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.
Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.