utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  2. Surveyor_1

    Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari. Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
  3. DR Mambo Jambo

    Huwa unafuata Sheria zipi au Utaratibu upi Mara uitwapo kwenye Mjumuiko (Jamii ya watu) ya watu au Date?

    Ni swali kwa wote ila Nitaanza na Sheria chache najua kuna wajuzi wengi wataziongezea.. Ukiomba kuonana na mtu eleza shida yako usimletee aliyekuita/Waliokuita umbea. Fika eneo la kukutania Kabla yake na Kama utachelewa mjulishe mapema ukiwa na sababu za msingi. Ukiwakuta watu wamekaa mahali...
  4. Zanzibar-ASP

    Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
  5. matunduizi

    Nilichojifunza dakika chache baada ya kumaliza chuo: Kujilipua na Kujihatarisha (risk taking) kutakusaidia kutoboa mapema kuliko kusubiri utaratibu

    Niliingia first Year nikiona mwaka wa mwisho wote wanaijiwa na waajili wakaanze kazi. Siku namaliza hakuna hata hata mmoja aliyekuja. Hali ilikuwa imebadilika. Nilikuwa nimeshaapa sirudi nyumbani afe kipa afe beki. Plan B Niliandaa barua na CV kama 200 hivi. Za elimu zote, form 4, six, ya chuo...
  6. Ester505

    MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
  7. R

    Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  8. The bump

    Utaratibu wa Mahari, mwanamke wa Kichaga Rombo

    Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kwa ambao mmeoa Uchagani na wanawake Mlioolewa kina baba na kina mama mliopo humu. Nina mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano ni Mchaga wa Rombo, nahitaji kwenda kutoa mahari. Taratbu zinatofautiana naomba kwa waliowahi au kujua taratbu za Uchagani kwa Wa...
  9. S

    Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  10. TUKANA UONE

    Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  11. NGOSWE2

    Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  12. B

    Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  13. A

    Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  14. BwanaSamaki012

    Je, huyu mrithi amepigwa au utaratibu ndio upo hivi?

    Habari za wakati huu wakuu? Nimekuja kwenu naomba muongozo juu ya hili jambo. Rafiki yangu alifiwa na Mama yake mwaka jana mwezi wa nne, mama yake alikuwa ni mtumishi wa serikali na alikuwa amebakiza miezi michache kustaafu. Kimsingi huyu binti wa marehemu kwao alizaliwa peke yake na Baba yake...
  15. KingCobra95

    Utaratibu wa kufungua kituo cha mafuta ukoje?

    Moja moja niende kwenye mada, naomba kuuliza utaratibu wa kufungua sheli ukoje? Nahitaji vibali kutoka taasisi ipi na ipi? Na je inaruhusiwa kufungua sheli katikati ya makazi ya watu? Nauliza hivi kwasababu kuna sheli nimeiona njia ya kuelekea chuo kikuu UDSM kule Ubungo Msewe ipo katikati...
  16. Zekoddo

    Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  17. Mto Songwe

    Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  18. Shark

    Bonusbet Kwa Utaratibu Huu Hamtopata Wale wa Kujilipua

    Za weekend Wakuu, Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo. Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit stake Maximum ni TZS 10,000,000/- Lakini ikitokea stake hiyo ukala labda odds 2 ukitaka ku...
  19. T

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa. Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
  20. GENTAMYCINE

    Naviomba Vyuo Vikuu vya Tanzania vije na huu Utaratibu kwa Members wa JamiiForums

    Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania. Mfano...
Back
Top Bottom