utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

    Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M... Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
  2. Nyendo

    Wizara ya Kilimo: Utaratibu, uuzaji na ununuzi wa biashara ya mazao ya kilimo Nchini

  3. Poluyakhtov

    Utaratibu wa mikataba ya ajira

    Habari za muda huu wana JF, Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu kwanza na akifaulu hapo anaingia awamu ya pili ya miezi sita au zaidi? Shukrani.
  4. nzalendo

    Je, upi utaratibu mzuri wa kugoma nchi nzima?

    Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.
  5. jahanbaksh

    Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
  6. kavulata

    Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  7. tpaul

    NEMC wekeni utaratibu wa ibada; huku mtaani leo hakukaliki kwa sababu ya kelele!

    Hata kama serikali haina dini lakini hapa tulipofika sasa kuna haja ya serikali kuingilia kati. Hapa mtaani kwangu leo hakukaliki kwa sababu ya kelele za maspika ya ibada. NEMC walisema wataweka utaratibu wa kufanya ibada lakini sijui wanakwama wapi mpaka sasa hawajachukua hatua zozote. Hadi...
  8. GENTAMYCINE

    Hivi Wapenzi wa Muziki wa Congo DR hasa Masebene na Rhumba hapa JF hatuwezi kuja na huu Utaratibu?

    Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo? Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi...
  9. Taiq

    Naomba utaratibu bora wa kudai nauli ya likizo

    Ndugu wanajanvi wenzangu mwenzenu nina shida ya kutolipwa sitahiki zangu za likizo kwa kipindi cha miaka sita sasa tangu kupata ajira mwaka 2017. Kwa kipindi chote hicho nimejalibu kufuatilia lakini cjawahi kulipwa. Sasa Ndugu zangu walimu na wanajanvi naomba mnisaidie ni viambatanishi vipi...
  10. T

    Ni kwa sheria ipi serikali inalazimika kusubiri utaratibu wa bunge kuwachukulia hatua wezi na mafisadi waliotajwa na CAG?

    Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...
  11. S

    SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  12. britanicca

    Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  13. R

    Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

    Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani? Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
  14. M

    Nauliza utaratibu wa kubadili jina

    Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
  15. J

    Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  16. SOTI

    Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  17. K

    Wakatoliki walifanikiwaje kuweka utaratibu wa kiibada unaofatwa karibu ilimwenguni kote?

    Utashangaa ukihudhuria ibada ya kikatoliki labda mwanza masomo yatakayosomwa hapo Mwanza ni sawa na somo litakalosomwa Bukoba, Mbeya, Shinyanga, Lindi, Mtwara, Tanga nk yaani nchi nzima ujumbe utakaotolewa ni uleule bila kupungua au kuongezeka. Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine...
  18. Edsger wybe Dijkstra

    Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

    Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
  19. M

    Huu utaratibu unaopigiwa debe wa kujitolea kwanza ili upewe kipaumbele kwenye kuajiriwa ni unyanyasaji

    Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni HAPANA. Sasa hivi kuna vijana takriban 600,000 wanasaka ajira. Je tuna uwezo wa kuwapa wote hawa fursa ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    Utaratibu Ufuatwe Baina ya Twiga Cement na Tanga Cement

    MBUNGE JUDITH KAPINGA ASISITIZA UTARATIBU UFUATWE BAINA YA TWIGA CEMENT NA TANGA CEMENT Mbunge wa Viti Maalmu Vijana Kupitia Kundi la Vijna, Mhe. Judith Kapinga jana tarehe 04 Mei, 2023 amechangia Bungeni suala la Twiga Cement kuinunua Tanga Cement katika hoja ya bajeti ya Wizara ya Uwekezaji...
Back
Top Bottom