utatuzi wa migogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Hatua za Kisheria za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Nchini Tanzania

    Migogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara kwa mara nchini Tanzania, kutokana na umuhimu wa ardhi katika maisha, makazi na shughuli za kiuchumi. Hata hivyo, utatuzi wa migogoro hiyo unategemea kwa kiasi kikubwa aina ya mgogoro, eneo husika na mamlaka yenye uwezo wa kisheria...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Baraza la ardhi na nyumba la wilaya iringa lashiriki kliniki ya ardhi, latoa huduma za utatuzi wa migogoro na elimu kwa umma

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa kutoa huduma za utatuzi wa migogoro ya ardhi, ushauri wa masuala ya ardhi na elimu kwa umma kuhusu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland - Utatuzi wa migogoro unahitaji umahiri sana tukikumbuka maisha ya Balozi Martti Ahtisaari

    RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Finland Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb...
  4. realMamy

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa Migogoro kwa njia ya usuluhishi ni kitu bora zaidi

    Kuna migogoro mingine hata sio ya kupelekana Mahakamani na kuipatia mahakama mzigo. Unakuta ni suala la kutatua tu kwa mazungumzo basi Kesi inaisha. Lakini sasa kwa kuwa watu wengine wana pesa basi watataka kujionesha kuwa anaweza na ukute anayeshtakiwa ni mtu wa kipato cha chini. Basi mtu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jerry Slaa amejitolea pesa kufungua kesi ya madai kusaidia wananchi waliobomolewa nyumba kinyume na Sheria

    Salaam, Shalom!! Ndugu Respis Brasius mkazi wa Unga Limited ameahirisha kujitoa uhai wake baada ya kuvutiwa na hotuba ya ndugu Jerry Slaa aliyoitoa Bungeni kuhusu utatuzi wa migogoro ya Ardhi. Iko hivi, Don Mmoja Unga Limited alishinda case mwaka 2012 iliyohusu baadhi ya wananchi kuvamia...
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro

    Bwana Yesu ASIFIWE .... Assalamualaikum...... Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Imani yako kwa taasisi za utoaji wa Haki na Utatuzi wa Migogoro Tanzania ni kiasi gani?

    Imani ya Watanzania kwa taasisi za utoaji haki na utatuzi wa migogoro inaweza kutofautiana kulingana na uzoefu binafsi na mtazamo wa kijamii. Hata hivyo, kwa ujumla, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri imani ya Watanzania katika taasisi hizo. Watanzania wanategemea...
Back
Top Bottom