Pudenciana Chirazia
New Member
- Apr 7, 2024
- 1
- 0
Migogoro ya ardhi ni miongoni mwa migogoro inayojitokeza mara kwa mara nchini Tanzania, kutokana na umuhimu wa ardhi katika maisha, makazi na shughuli za kiuchumi. Hata hivyo, utatuzi wa migogoro hiyo unategemea kwa kiasi kikubwa aina ya mgogoro, eneo husika na mamlaka yenye uwezo wa kisheria kuamua mgogoro huo.
Makala hii inalenga kueleza kwa kina hatua na taratibu muhimu za kufuata katika kutatua migogoro ya ardhi nchini Tanzania, ikiwemo namna ya kutambua vyombo vyenye mamlaka ya kushughulikia migogoro hiyo na hatua zinazoweza kuchukuliwa na mhusika.
Kwa maelezo ya kina zaidi kuhusu hatua, taratibu na mfumo wa kisheria unaosimamia utatuzi wa migogoro ya ardhi nchini Tanzania, tafadhali soma makala kamili iliyoambatanishwa hapa chini.