Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
Hawa watu wakifungua kesi nyingi nyingi zinazowahusu polisi, wakuu wa wilaya, mawaziri, wakuu wa mikoa nk zitawaweka busy na zitawapa aibu angalau wataanza kukemea uonevu unaofanywa na watu wao wa chini.
Kwa wiki hizi za karibuni nchi imepitia katika heka heka nyingi ambazo ni nyingi zinaumiza...
Yani sasa hivi ukitaka kwenda jela tukana Rais. Hii ni moja ya dalili ya mwisho kwa nchi zilizokosa utawala wa haki au chama kujiogopa ili kubakia nafasi yao.
Nchi zilizofanya haya moja wapo Tanzania inakaribia ukingoni. Yaani sasa hivi chama au Rais hata mimi kaka yake shetani siogopwi sababu...
Kiongozi Msafi katika Taifa loloe lile kamwe na Daima haijawahi tokea akaongoza Taifa liliojaaa wapigaji wa mali za Umma.
Kule Nigeria inaaminika Gen Sani Abacha kwenye utawala wake kulikuwa na upigani ambao haujawahi fikiwa hadi leo, Kila kiongozi alikuwa anakula kwa urefu wa Kamba yake...
Kwanza kabisa ili kuifikia Tanzania tu itakayo Tanzania yenye mafanikio kiuchumi, kisiasa na kijamii tunatakiwa kuangalia namna ya mawazo, au vile tunavyopanga vinaweza kutimizwa. Tunapaswa kuzingatia
Mchakato rafiki wa kuwapata wasimamizi bora wa mipango na rasilimali za watanzania
Nguvu na...
TANZANIA TUITAKAYO
Nchini Tanzania wananchi uingia mkataba na viongozi kwa muda wa miaka mitano kwa lengo la kuboresha sehemu zenye mapungufu na kutatua kero na changamoto za wananchi katika nyanja mbalimbali. Swali ni kwamba ndani ya hiyo miaka mitano hadi kukamilika miaka hiyo, viongozi...
Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF.
Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI WA MWANAFUNZI MPAKA NIKAFUKUZWA KAZI".
Nimeona nisikae tu kimya bila kuwafahamisha...
“Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress”
In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
Utangulizi
Utawala bora na uwajibikaji ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa lolote. Nyanja hizi ni muhimu katika kukuza uwazi, usawa, na ufanisi katika utoaji wa huduma za umma na maamuzi ya kisiasa. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa kuleta mabadiliko katika nyanja hizi na jinsi...
Afya ya msingi(PHC)
Upatikanaji wa huduma ya afya na mipango ya afya ya msingi katika ngazi ya jamii, Zahanati,na vituo vya afya ni changamoto ngumu sana katika nchi zinazoendelea. Utawala Bora katika afya ya msingi ni jambo muhimu sana ambalo serikali imesahau kuwekea kipaumbele.
Hii...
Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na utelekezaji kwa uwazi, ushirikiano na uwajibikaji vilevile uwajibikaji unahusu majukumu ya wahusika au...
Utawala Bora ni dhana inayohusu utawala mzuri na wa haki, ukiwezesha ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya serikali yao na kuimarisha mifumo ya kisheria na utawala. Inalenga kuendeleza utawala ulio wazi, uwajibikaji, na ufanisi katika kutoa huduma na maendeleo kwa jamii.
Uwajibikaji ni jukumu...
Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira
Utangulizi
Rasilimali za asili na mazingira ni hazina muhimu kwa maendeleo na ustawi wa jamii na taifa. Kuhifadhi na kuenzi rasilimali hizo ni jukumu letu sote. Katika makala hii, tutajadili jinsi utawala...
UTANGULIZI
Teknolojia imechukua nafasi kubwa sana na kuwa msaada mkubwa kwa utendaji kazi kiurahisi na kwa haraka katika maisha ya watu wote dunia kwa sasa na inaaendelea kukua na kubadilika kwa kasi kubwa kila siku. Teknolojia kwa sasa inauwezo mkubwa wa chochea utawala bora na uwajibikaji, sio...
Mabadiliko katika Nyanja ya Siasa: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji
Utangulizi.
Mabadiliko katika nyanja ya siasa yana jukumu muhimu katika kuendeleza utawala bora na uwajibikaji katika jamii. Kupitia makala hii, nitaainisha baadhi ya mabadiliko ambayo yanaweza kuchangia katika kuimarisha...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao.
Sensa hutoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika maeneo kama mipango ya maendeleo, usimamizi wa rasilimali,na...
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa:
Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHERIA NA HAKI
Siku moja tembo alimwona swala anakimbia kwa spidi kali sana akamsimamisha na kumuuliza, "ndugu yangu mbona unakimbia hivyo? shida nini? Huku swala akihema akamjibu" kijijini kwetu polisi wanakamata mbuzi wote waliopo kule." Kwa mshangao...
Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.