utawala bora na uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Zanzibar: Anaswa na kete 2,401 za Heroin

    Mkazi wa Nungwi kisiwani Zanzibar, Athumani Akida Juma (32) amekamatwa na pakiti 20 zenye kete 2,401 zinazodaiwa ni dawa za kulevya aina ya heroin. Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar, Kanali Buruhani Zuberi Nassoro wakati akizumgumza na...
  2. Sildenafil Citrate

    IGP Wambura apangua tena nafasi za Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camilius Wambura amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa ambapo amemuhamisha SACP Henry Mwaibambe ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi wa Geita kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga. SACP Mwaibambe anachukua nafasi ya ACP Safia Shomary...
  3. Sildenafil Citrate

    Prof. Ndalichako aibua ufisadi wa mamilioni ya fedha za mkopo wa Corona

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, ameibua ubadhirifu wa mamilioni ya shilingi yaliyotolewa kutokana na mkopo wa UVIKO-19 kwa ajili ya ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba. Kufuatia...
  4. Sildenafil Citrate

    Viongozi 500 kutoa heshima za mwisho kwa Malkia leo

    Rais wa Marekani Joe Biden na Samia Suluhu wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi waliowasili jijini London tayari kuhudhuria mazishi ya kitaifa ya Malkia Elizabeth II siku ya Jumatatu. Viongozi hao ni miongoni mwa wakuu na viongozi 500 wa kigeni wanaokuja London kwa tukio linalowakutanisha...
  5. Sildenafil Citrate

    Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  6. Sildenafil Citrate

    Kijana adaiwa kujinyonga akiwa Kituo cha Polisi Moshi. Familia yang'aka

    Nicholaus Mushi (27) amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia tambara la dekio, akiwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Taarifa zilizotolewa na ndugu wa marehemu, zanadai kabla ya kujinyonga, alijaribu kujiua kwa kujikata kwenye koromeo na wembe...
  7. Roving Journalist

    DOKEZO Wanafunzi zaidi ya 100 Mkoani Mbeya walazimishwa kushika kinyesi cha Binadamu kwa mikono na walimu wao

    Tukio la kikatili limeripotiwa kutokea Septemba 7, 2022 majira ya asubuhi Shule ya Sekondari Songwe, Kata ya Bonde la Songwe kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne waliopo shuleni hapo kwa maandalizi ya mitihani ya Taifa. Inadaiwa kuwa walimu wa shule hiyo ambao kwa majina ni Lugongo...
  8. Sildenafil Citrate

    Mchango wa Balozi za Tanzania kwenye kusaidia upatikanaji wa Ajira kwa Watanzania

    Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya nchi, pia kuhakikisha usalama na maslahi yao. Serikali kupitia TAESA inawezesha watanzania kuomba...
  9. Miss Zomboko

    Kuwawajibisha maafisa wa Serikali ni kitovu cha Demokrasia

    Kuwawajibisha maafisa wa serikali ni kitovu cha demokrasia. Uwajibikaji wa kidemokrasia unawapa wananchi na wawakilishi wao nafasi na njia ya kutoa maoni yao na kupatiwa maelezo kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa kuchaguliwa na wale wasio wa kuchaguliwa, na inapobidi wanashauri hatua za kuchukua...
  10. H

    SoC01 Nini kifanyike kuchochea maendeleo?

    Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika. UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA. Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
  11. JBube

    Chuo Kikuu fuateni Utawala Bora

  12. C

    Utawala Bora na Uwajibikaji

    Habari wakuu! Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala la utawala bora na uwajibikaji bado halina nafasi kubwa hivyo hupelekea baadhi ya maeneo ya...
Back
Top Bottom