utawala bora na uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  2. Bakari20

    SoC03 Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya

    Andiko la Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya. Utangulizi: Sekta ya afya ni muhimu sana katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ili kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma, utawala bora na uwajibikaji ni muhimu. Andiko hili linalenga...
  3. Mshangai

    Wabunge wetu mnataka mpigwe na mayai viza ndio mjue mnatukosea?

    Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
  4. M

    SoC03 Namna utawala bora na uwajibikaji vilivyo muhimu katika maendeleo

    Ni matamanio ya kila nchi kuwa na maendeleo ya kiasi cha juu sana hata kufikia hatua ya kujitegemea. Hivyobasi,ili nchi iweze kupata maendeleo hayo inapaswa kuwa na viongozi wazuri wanaowajibika.Uongozi na uwajibikaji ni maswala mawili tofauti yanayotegemeana kwani kiongozi mzuri ni yule...
  5. Ms_LB

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora katika Nyanja ya Elimu Tanzania: Mabadiliko Yanayohitajika kwa Maendeleo Endelevu

    Utangulizi. Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika nyanja ya elimu nchini Tanzania. Kuna changamoto kadhaa zinazoathiri uwajibikaji na utawala bora katika mfumo wa elimu. Hata hivyo, kuna pia hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kuleta mabadiliko chanya. Katika andiko hili...
  6. abdulbasit

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji kichochezi cha Maendeleo na Demokrasia

    Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
  7. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  8. partsonamani

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji Katika Kuimarisha Maendeleo ya Jamii

    Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
  9. O

    SoC03 Jukumu la Teknolojia katika kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta za Umma

    Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika taasisi za umma. Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha...
  10. O

    SoC03 Utawala bora na uwajibikaji misingi ya ustawi wa jamii

    Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi . Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya Tanzania iwe ngumu kufikia utawala bora. Hizi ni pamoja na: Rushwa: Rushwa...
  11. tpaul

    SoC03 Mambo haya yaingizwe kwenye katiba mpya; yataimarisha demokrasia, utawala bora na uwajibikaji

    Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala wa mabavu. Pili, katiba ya sasa imejaa viraka vingi ambavyo viliingizwa kwa mihemko au kwa ajili ya...
  12. P

    SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  13. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  14. A

    SoC03 Umuhimu wa utawala bora na uwajibikaji

    Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi. Lakini siku...
  15. P

    SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  16. Mabula marko

    SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  17. Sultan9

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania

    Utangulizi. Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Kama nchi inayotaka kuendelea, ni muhimu kuelewa jinsi utawala bora na uwajibikaji unavyoweza kusaidia kuunda mabadiliko yenye maana katika jamii. Hii inahitaji kuweka mfumo wa kushughulikia utawala...
  18. BigTall

    DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
  19. REJESHO HURU

    Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…

    Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi. Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo. Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili...
  20. Pang Fung Mi

    Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Back
Top Bottom