utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mathew Leloo

    SoC03 Leo hii uadilifu uzingatiwe

    Katika mada yetu mwaka huu, kama we ni kiongozi jiulize maswal adilifu, nini maana ya uadilifu? Je, Kama viongozi, mnaongoza watu wenu kwa uadilifu? Je, nini hutokea kiongozi Anapokosa uadilifu? Jiulize maswal adilifu: • Je, ninashuku kwamba kitendo Fulani kinaweza kuwa cha haramu au...
  2. P

    SoC03 Utawala bora katika Mabaraza ya Kata

    1.1 Utangulizi Katika kuhakikisha suala la utawala bora linatekelezwa hapa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi za mageuzi ya kutumia teknolojia na kuanzisha mifumo ya Tehama, hii ikiwa ni katika jitihada za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kiutendaji katika ngazi mbalimbali zinazotoa...
  3. G

    SoC03 Mabadiliko katika Sekta ya Madini kwa Utawala Bora na Uwajibikaji

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa: Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
  4. Athumani malumalu

    SoC03 Utawala Bora na maendeleo vijijini

    Katika mfumo bora wa uongozi na uendeshaji wa mamlaka utawala bora ni muhimu kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na huduma sawa na zenye tija. Katika taifa letu wimbi la uongozi m bovu katika ngazi za chini za utawala limekuwa kubwa na hii pengine ni kutokana na serikali kutofuatilia mienendo...
  5. Mwl.RCT

    SoC03 Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora

    MADA: Kuwa na Macho Kama Tai: Jukumu la Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia katika Kushirikiana na Serikali na Jamii kwa Ajili ya Kuimarisha Utawala Bora. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Makala hii inalenga kuchunguza jukumu la sekta binafsi na asasi za kiraia katika kushirikiana na serikali na...
  6. Kurzweil

    SoC03 Watanzania tutumie 'akili mnemba' kuchochea utawala bora

    Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita maneno "utawala" na "utawala bora" yametumika katika muktadha wa kuhamasisha maendeleo. Utawala mbaya unatajwa kuwa kisababishi cha maovu yote ndani ya jamii. Wafadhili na taasisi za fedha za kimataifa zinaegemeza misaada na mikopo yao kwa masharti kwamba...
  7. Mwl.RCT

    SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  8. P

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika ngazi ya Familia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA FAMILIA ZETU. Utawala bora ni mfumo wa utawala unaosimamiwa na kanuni na misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, utawala wa sheria, uwazi, na haki. Ni mchakato unaolenga kuhakikisha kuwa serikali na taasisi za umma zinatekeleza majukumu yao kwa...
  9. P

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sheria na Haki

    UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHERIA NA HAKI Siku moja tembo alimwona swala anakimbia kwa spidi kali sana akamsimamisha na kumuuliza, "ndugu yangu mbona unakimbia hivyo? shida nini? Huku swala akihema akamjibu" kijijini kwetu polisi wanakamata mbuzi wote waliopo kule." Kwa mshangao...
  10. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  11. G

    SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
  12. G

    SoC03 Kuweka Wazi Mfumo wa Uteuzi wa Viongozi wa Serikali na Kuimarisha Utawala Bora

    Katika nyanja ya Uongozi, kumekuwa na changamoto kubwa katika mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya...
  13. G

    SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  14. The nightmare

    SoC03 Jinsi familia inavyotengeneza jamii yenye utawala bora

    UTANGULIZI: "Kutakuwa na amani ulimwenguni tu wakati kuna amani kwenye familia." - Mahatma Gandhi Mahatma Gandhi, kiongozi wa uhuru wa India na mwanaharakati wa amani, anatoa wito kwa amani katika familia kama msingi wa kuleta amani ulimwenguni. Anaamini kwamba kujenga utawala bora ndani ya...
  15. G

    SoC03 Uwajibikaji: Changamoto na Fursa kwa Utawala Bora

    Uwajibikaji ni msingi muhimu wa Utawala Bora katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo, katika jamii nyingi, uwajibikaji umekuwa changamoto kubwa. Kukosekana kwa uwajibikaji kunaweza kusababisha matumizi mabaya ya madaraka, rushwa, na ufisadi. Katika nyanja ya Afya, uwajibikaji unaweza kuboreshwa...
  16. G

    SoC03 Mabadiliko katika Elimu kama Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Elimu ni moja ya nyanja muhimu katika maendeleo ya jamii. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu ambazo zimeathiri ubora wa elimu na kusababisha udhaifu katika utawala bora na uwajibikaji. Kwa kupitia mabadiliko katika elimu, tunaweza...
  17. G

    SoC03 Uwazi na Uwajibikaji ndio Msingi wa Utawala Bora

    Utawala bora ni muhimu katika kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Hata hivyo, ili kuhakikisha utawala bora unapatikana, uwazi na uwajibikaji ni muhimu sana. Uwazi ni hali ya kuwepo kwa taarifa na habari zote muhimu zinazohusu serikali na taasisi zake zinapatikana kwa urahisi. Hii inawezesha...
  18. G

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika sekta ya afya Tanzania

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
  19. isajorsergio

    SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  20. A

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora nu chachu ya maendeleo kwa nyanja zingine

    Utangulizi Uwajibikaji waweza kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta chachu ya mabadiliko na maendeleo katika jamii. Uwajibikaji waweza kufanywa na mtu mmoja au zaidi na pia unaweza kuhusisha kikundi Cha watu wenye mipango ya kutimiza malengo Fulani katika jamii yao. Uwajibikaji ni hali ya...
Back
Top Bottom