utawala

  1. Mwl.RCT

    SoC03 Kiini cha utawala bora ni kuhakikisha kwamba wananchi wana sauti katika maamuzi yanayowaathiri katika maisha yao ya kila siku

    Imeandikwa na: Mwl.RCT Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, utawala bora bado ni changamoto kubwa. Kuna ukosefu wa uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa...
  2. Kabula Hamis

    SoC03 Mapinduzi ya elimu katika kuchochea utawala bora na mabadiliko

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu. Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuleta mabadiliko katika mfumo wa elimu ili kuboresha ubora wa...
  3. J

    SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
  4. B

    Yanga SC imebeba jukumu la kuvunja utawala huu CAF

    IKIWA Juni 3, 2023 inatarajiwa kuchezwa mechi ya mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Yanga SC wana kazi moja kubwa ya kuweka historia na kuvunja utawala ulioweka kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Kumbuka Yanga SC watakuwa uwanjani nchini...
  5. Techprime

    SoC03 Kuvunja Mzunguko wa Ufisadi: Jinsi Teknolojia itakavyosaidia Kuboresha Utawala Nchini Tanzania

    Utangulizi: Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya na za ubunifu za kuzuia na kupunguza ufisadi. Moja ya njia muhimu inayoweza kutumika ni matumizi ya...
  6. D

    Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi? Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala. Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo...
  7. JanguKamaJangu

    Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

    Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko. Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota...
  8. A

    SoC03 Utawala imara na utendaji

    Utawala bora na uwajibikaji, ni usimamizi sahihi unaozingatia sheria na haki kwa usawa kati ya viongozi na raia, ili kuondoa uvunjifu wa haki za watu na matumizi mabaya ya mali za uma, mfano rushwa. Utawala bora na uwajibikaji huchochea maendeleo katika taifa lolote, uwajibikaji hutokana na...
  9. Bebe Vee Angel

    SoC03 Maoni kuhusu Uwajibikaji na Utawala Bora katika nyanja mbalimbali

    Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi imepata maendeleo makubwa katika kuboresha uwajibikaji na utawala bora miaka ya karibuni. Hata hivyo...
  10. partsonamani

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji Katika Kuimarisha Maendeleo ya Jamii

    Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
  11. O

    SoC03 Madhaifu ya Utawala wa sasa

    Tanzania ni moja ya nchi zinazokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi katika taasisi za serikali, rushwa, ukosefu wa uhuru wa vyombo vya habari, na udhaifu katika mifumo ya sheria na...
  12. O

    SoC03 Makosa ya Utawala Bora na Jinsi ya kuyatatua

    Tanzania ni moja ya nchi zinazokabiliwa na changamoto kubwa katika suala la uwajibikaji na utawala bora. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali. Kuna baadhi ya mifano ya udhaifu wa utawala bora na uwajibikaji nchini Tanzania. Hapa chini nitatoa mifano michache: Sheria: udhaifu katika mifumo...
  13. O

    SoC03 Jukumu la Teknolojia katika kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta za Umma

    Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika taasisi za umma. Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha...
  14. O

    SoC03 Utawala bora na uwajibikaji misingi ya ustawi wa jamii

    Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi . Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya Tanzania iwe ngumu kufikia utawala bora. Hizi ni pamoja na: Rushwa: Rushwa...
  15. Mwl.RCT

    SoC03 Uwekezaji Kwenye Nafsi Yako: Elimu Na Utawala Bora Kama Kinga Dhidi Ya Hatari

    UWEKEZAJI KWENYE NAFSI YAKO: ELIMU NA UTAWALA BORA KAMA KINGA DHIDI YA HATARI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Karibu katika makala hii kuhusu "Uwekezaji kwenye Nafsi Yako: Elimu na Utawala Bora kama Kinga Dhidi ya Hatari". Jambo la muhimu zaidi ni uwekezaji kwenye nafsi yako. Hii inamaanisha...
  16. tpaul

    SoC03 Mambo haya yaingizwe kwenye katiba mpya; yataimarisha demokrasia, utawala bora na uwajibikaji

    Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala wa mabavu. Pili, katiba ya sasa imejaa viraka vingi ambavyo viliingizwa kwa mihemko au kwa ajili ya...
  17. OLS

    SoC03 Maamuzi ya Mahakama ya Afrika Mashariki yaheshimiwe kurejesha uhuru wa habari ili kukuza utawala bora

    Changamoto za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari Tanzania imejitolea kuheshimu viwango vya kimataifa, kikanda, na kikatiba vya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Lakini, vipengele vya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (MSA) havikidhi viwango vinavyokubalika katika kukuza...
  18. Joshua Deus

    SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI  HURU Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
  19. J

    Nimeshangaa sana, Timu za Ujerumani badala ya kuungana kumaliza utawala wa Bayern, zinakamiana

    Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine Badala ya timu kuungana ili...
  20. P

    SoC03 Pasipo Utawala Bora haki haiwezi kustawi

    Hapa kuna hadithi ya kusikitisha inayohusu kijana ambaye alinyimwa haki yake kutokana na ukosefu wa utawala bora nchini: Kulikuwa na kijana aitwaye Juma, ambaye alikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria ili aweze kupigania haki na usawa katika jamii yake. Alikuwa na kiu ya kujenga nchi ambapo kila...
Back
Top Bottom