Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora
Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
Michezo ina jukumu muhimu katika kuchangia utawala bora kwa njia kadhaa. Hapa chini ni baadhi ya mchango wa michezo katika utawala bora:
Kukuza maadili na uwajibikaji: Michezo inajenga maadili kama ushirikiano, haki, nidhamu, uwazi, na uwajibikaji. Kupitia michezo, watu wanajifunza umuhimu wa...
MUHTASARI:
Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii.
Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
UTANGULIZI:
Ili nchi yoyote iweze kuendelea razima iwe na mifumo mizuri ya kiutawala na uwajibikaji, Utoaji wa Elimu kwa wananchi na usimamizi wa rasilimali za Taifa.
Kwa kuzingatia misingi ya maadili iliyoainishwa katika Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania ya mwaka 1977...
Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.
Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi...
Chadema inahubiri kuwa endapo watashika dola (ndoto ya kawaida) basi wataanzisha utawala wa kimajimbo Ili kurahisisha huduma za kijamii na kuharakisha maendeleo. Ukiitazama mfumo huu na jinsi wanavyouelezea kwa haraka unaweza kudhani ni kweli.
Kama kuna jambo ambalo ukitaka ugomvi na Watanzania...
Utangulizi
TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa.
Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
Samahani Mimi binafsi naamini hii idea ya chadema ni nzuri katika kukimbiza maendeleo ya Tanzania.
Japo wanaccm ni kama wanaipinga Kwa nguvu sana .
Embu naomba tujadiri Kwa kina faida na madhara aina hii ya utawala
Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo.
Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu.
Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu.
Please tujadili faida na madhara yake humu.
NAWASILISHA.
Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi
Utangulizi
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
Picha na mtandao
Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
Hawa M-pawa wanakushawishi ukope. Kabla hawajakutumia hela uliyomba kukopa, wanakata riba yao kabisa. Kwa hiyo, kama ulifikia kiwango cha kukopeshwa 100,000/- kwa mfano, utaishia kupata kwenye 80,000/- ikiwa ni kwamba wamechukua 20,000/- upfront kwa mkopo wa siku 30.
Kiwango cha riba hiki ni...
TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.
Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.
Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe...
Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
UTANGULIZI
TCRA NI NINI ?
Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi.
Lakini siku...
Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.