utawala

  1. P

    SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  2. P

    SoC03 Utawala Bora kupitia Michezo

    Michezo ina jukumu muhimu katika kuchangia utawala bora kwa njia kadhaa. Hapa chini ni baadhi ya mchango wa michezo katika utawala bora: Kukuza maadili na uwajibikaji: Michezo inajenga maadili kama ushirikiano, haki, nidhamu, uwazi, na uwajibikaji. Kupitia michezo, watu wanajifunza umuhimu wa...
  3. G

    SoC03 Kukuza Utawala Bora katika utawala wa umma wa Tanzania: Mikakati na athari zake

    MUHTASARI: Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii. Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
  4. SoC03 Maoni kuhusu uwajibikaji na utawala bora

    UTANGULIZI: Ili nchi yoyote iweze kuendelea razima iwe na mifumo mizuri ya kiutawala na uwajibikaji, Utoaji wa Elimu kwa wananchi na usimamizi wa rasilimali za Taifa. Kwa kuzingatia misingi ya maadili iliyoainishwa katika Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977...
  5. Hotuba ya Waziri George B. Simbachawene Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
  6. Je, huu ndiyo mwisho wa utawala wa "THE BAVARIANS"baada ya miaka 10 kupita?

    Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga. Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi...
  7. D

    Utawala wa Majimbo ni kuipasua nchi vipande vipande

    Chadema inahubiri kuwa endapo watashika dola (ndoto ya kawaida) basi wataanzisha utawala wa kimajimbo Ili kurahisisha huduma za kijamii na kuharakisha maendeleo. Ukiitazama mfumo huu na jinsi wanavyouelezea kwa haraka unaweza kudhani ni kweli. Kama kuna jambo ambalo ukitaka ugomvi na Watanzania...
  8. SoC03 Utawala bora ndio umebeba mustakabali wa maisha

    Utangulizi TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa. Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
  9. I

    Utawala wa Majimbo una manufaa gani na madhara yake ni yapi?

    Samahani Mimi binafsi naamini hii idea ya chadema ni nzuri katika kukimbiza maendeleo ya Tanzania. Japo wanaccm ni kama wanaipinga Kwa nguvu sana . Embu naomba tujadiri Kwa kina faida na madhara aina hii ya utawala
  10. I

    UTAWALA kimajimbo una faida/madhara gani. Tuchambue ili watu waelewe

    Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo. Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu. Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu. Please tujadili faida na madhara yake humu. NAWASILISHA.
  11. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  12. SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  13. N

    M-Pawa wanatoza riba kubwa na wanasumbua kwa SMS zao

    Hawa M-pawa wanakushawishi ukope. Kabla hawajakutumia hela uliyomba kukopa, wanakata riba yao kabisa. Kwa hiyo, kama ulifikia kiwango cha kukopeshwa 100,000/- kwa mfano, utaishia kupata kwenye 80,000/- ikiwa ni kwamba wamechukua 20,000/- upfront kwa mkopo wa siku 30. Kiwango cha riba hiki ni...
  14. SoC03 Tofauti Kati ya Kiongozi Bora na Mtawala Mbaya: Sifa za Uongozi wa Kidemokrasia na Utawala wa Kiimla

    TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
  15. Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala

    Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana. Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa. Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe...
  16. Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

    Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
  17. SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  18. SoC03 Malalamiko ya Bando na Huduma nyingine za Mawasiliano, tatizo kuu ni Kutofuata Misingi ya Utawala Bora, na suluhisho ni hili

     UTANGULIZI TCRA NI NINI ? Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
  19. A

    SoC03 Umuhimu wa utawala bora na uwajibikaji

    Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi. Lakini siku...
  20. SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…