KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo amesema kamati yake imeridhishwa na...
Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri.
"Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU.
Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.
1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.
Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi, mtamdharau Kwa uanawake wake yeye kimya na kuendelea kupiga Kazi.
Tukienda mbele na kurudi nyuma hakuna...
Mdogoangu Chibu umeyakanyaga kwa hasira zako za kupigwa moja pointi saba bilioni na wewe ukaamua kuwasema kiaina hivi na kusahau kwamba na huko utawalani kuna watu wenye miakili mingi kama wewe au hata wakakuzidi kabisa kiakili?
Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda...
Ni dhahiri kuwa Kwa Kila mpenda Demokrasia hapa nchini, anapaswa ampongeze Kwa dhati, Rais Samia Kwa hatua alizochukua za kishujaa za kufutilia Kwa mbali zuio haramu, lililokuwa limewekwa na mtangulizi wake, mtawala wa awamu ya 5. Mwendazake Magufuli, za kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya...
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022.
Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama.
Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka.
Licha ya...
Hello JF
Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake.
Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda.
Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa...
Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini.
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa hawaivi na Magufuli basi, hivyo mnapoteza muda wenu bure.
Mbowe, Tundu Lisu, Yusufu & Co. wako...
Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM.
Nchi iliingia...
Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa.
Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote.
Walinipa VCD na DVD matukio...
Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM.
Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu.
Chuo...