Kwanza salamu hadhira, Hali yenu vipi shwari,
Nataka niwape dira, Mimi nipo juu ya dari,
Japo kuwa Kuna swira, Sitoiogopa hatari,
Nasihitaji ngawira, Isikilizeni habari.
Utawala waparaza, Kama Simba aliye nyikani,
Unyonyaji unaanza, Wakijiita wahisani,
Kumbe wenzetu ndo Kwanza, Wanaipima...