Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia.
Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais.
Kuna baadhi ya vijana wa wakati ule waliona wana wajibu na dhima kubwa ya kumtetea Rais pale...
Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie.
UTANGULIZI .
Nini maana ya utawala ?
Utawala ni Hali ya kuwa na mamlaka na haki ya kuongoza. Dhana hii ya utawala ndio itakae tupeleka katika...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja...
Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa
Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa...
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
Watawala wa kijeshi wa Mali wameahidi kurejeshwa kwa utawala wa kiraia katika kipindi cha miaka 2, kufuatia kuandamwa na vikwazo kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS
Vikwazo hivyo ni pamoja na kufungwa kwa mipaka ya ardhi na anga, kusimamishwa kwa miamala yote ya kibiashara na...
Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe
DANIEL 1:
31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.
32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi!
Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je...
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao.
"Tumesikitishwa sana na uamuzi wa Mdhibiti wa Vyombo vya Habari wa Mali kuifungia Radio France...
Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi.
Hata hivyo imeonesha...
Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi.
Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali ikipinduliwa na nafasi yake kuchukuliwa na jeshi.
Hali inaweza kuwa ya kutisha zaidi, kwa sababu...
Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.
Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu...
Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu.
Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
akili
asilimia
awamu
bado
cag
darasa
enzi
hii
hoja
humphrey polepole
jiwe
jpm
kitu
kubwa
kuhojiwa
kuhusu
madarakani
magufuli
mahakamani
mmoja
muda
mwaka
ndogo
ripoti
sababu
uchumi
ufisadi
uhalali
uhujumu
uhujumu uchumi
uongozi
upigaji
utawala
wakuu