utawala

  1. JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

    Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria. Kwa sifa hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Isaac Maliyamungu: Kiongozi katili katika utawala wa Idd Amin

    UTANGULIZI Isaac Maliyamungu, (aliyekufa Februari 1984) pia anajulikana kama Isaac Lugonzo, alikuwa afisa wa jeshi la Jeshi la Uganda (UA) ambaye aliwahi kuwa mmoja wa maafisa na wafuasi muhimu zaidi wa Rais Idi Amin wakati wa udikteta wa jeshi la Uganda la 1971-79. Mzaliwa wa Zaire...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Zanzibar uliopita ulikithiri ufisadi hadi hauonekani

    Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo. Rais Hussein kila anapopagusa patupu, watawala wa waliopita wakiongozwa na CCM wameshakwapua. Yaani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  6. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalao halina utawala unaofuata misingi ya sheria tutafika huko tunakoenda?

    Utawala wa sheria unataka viongozi na raia wa kawaida kuheshimu sheria na kuhakikisha wanafanya shughuli zao na kuishi kama sheria zinavyosema. Ibara ya 13(3) iko wazi kabisa kwamba haki za kiraia au masuala yote yanayohusu haki na au uvunjifu wa haki yataamuriwa na mahakama. Kama katiba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  8. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Utawala huu wa Magufuli: Shilole aomba ateuliwe kuwa DC

    C.E.O wa Shishi Food ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Shilole, amesema nje ya ndoto yake ya kuja kuwa Mbunge analo ombi kwa Rais Magufuli akimuona anafaa basi walau amteue kuwa Mkuu wa Wilaya maana anaamini katika uwezo wake wa uongozi. “Napenda kuwa Mbunge lakini kabla ya kuwa Mbunge ninalo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili utawala wa Magufuli tukiweka kando itikadi zetu za kisiasa

    Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naipenda CHADEMA. Uchaguzi uliopita niliimpigia kura Tundu Lissu na uchaguzi wa 2015 nilimpigia kura Lowassa. Binafsi naamini kwenye utendaji na uchapa kazi Magufuli anawazidi wakina Lowassa na Lissu. Anayoyafanya Magufuli nina uhakika Lowassa na Lissu...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa katika suala la Utawala Bora na Usalama

    RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa yamekuwepo tangu kupata uhuru. Ripoti hiyo imeipongeza Tanzania katika kusimamia misingi ya haki...
  13. JamiiForums Tanzania Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

    Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga. Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Utawala Bora, nini maana yake?

    Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na unafuata utawala wa...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana kutoka kimaisha kwenye Utawala wa Awamu ya 5 ni ndoto za mchana

    Hua nasema kila siku, CCM hata wakipewa miaka 700 hakuna kitu watatufanyia watanzania zaidi ya kutufukarisha. Miaka na miaka CCM inazalisha mafukara wa kutupwa wanaoitwa wanyonge ambao mbaya zaidi ccm inawatumia tena kama stepping stone kwenye uchaguzi. Kijana wa Kitanzania kutegemea utatoka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

    Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada. Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada. Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Ugonjwa wa 'K Syndrome' uliozushwa ili kuwaokoa Waisraeli dhidi ya maafisa katili wa Utawala wa Nazi

    Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019. Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa Wagonjwa ambao ilielezwa kuwa wanasumbuliwa na ugonjwa mbaya wa Koch Syndrome ambao ni sawa na...
  18. JamiiForums Tanzania Utawala Bora hauletwi na Sheria zinazotungwa, utawala bora unaletwa na kiongozi aliyeko madarakani

    Unaweza ukaona kuwa solution ni sheria ama kubadilishwe na katiba,lakini kwa ukweli hasa katiba inaweza kubadilishwa lakini bado mambo yakawa yale yale tu. Hapa tanzania kuna watu wanalalamika kuna jambo hili limefanyika ni kinyume na sheria mara jambo lile ni kinyume na sheriaa.. Hii maana...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli kuwa Rais wa kwanza Tanzania utawala wake chuki kutawala katika jamii?

    Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
  20. JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae Mwanaume kukosa utawala wa kiuchumi nyumbani heshima ya MUME hupungua kama sio kutoweka kabisa

    Iwe ni kwa wale wa kipato cha juu kati au cha chini...yaani kama Mke anatengeneza shilingi mia tano kwa siku na wewe Bw Mkubwa ni apeche alolo, ni ngumu sana kuwa na ndoa imara ya Mume na Mke wanaosikilizana na kuheshimiana. Huenda kwa nje mtafanikiwa kutuonesha kana kwamba ndoa yenu ipo imara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…