utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  2. Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  3. Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  4. Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini

    10 September 2024 Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania; "Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
  5. Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  6. G

    Hivi kweli anachukizwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea mjini?

    Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua...
  7. Kutokomeza Utekaji, mabadiliko yafanyike utumbuzi wa Polisi wakamataji

    Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili. Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika. Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu...
  8. Kamera za CCTV kifaa muhimu kinosaidia kupata ushahidi. Watanzania wajizoeshe kukusanya ushahidi na kuuhifadhi kwa kutumia simu ya mkononi

    Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo. CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
  9. J

    Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
  10. Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale. Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi. Lakini hawa...
  11. Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

    Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT! PIA SOMA - TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa...
  12. I

    Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

    Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya Polisi yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔 Pia soma - Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?
  13. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

    Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
  14. Pre GE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

    Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao. Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza...
  15. Roma Mkatoliki atoa povu: Raia wajibikeni Wasanii sio wajibu wao kuleta mabadiliko

    Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe. Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu...
  16. J

    NSSF hilo pori la Ununio kama limewashinda Liuzeni badala ya kuliacha liwe kichaka cha Kuulia Watu!

    Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini. Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed Kibao. Hili pori liko pembeni ya barabara inayotumiwa na Viongozi wengi sana akiwemo Waziri nyeti kabisa...
  17. Kuuawa kwa Ali Kibao: Polisi watakuja na sababu za akina Dr. Ulimboka, Prof. Juan na wengine?

    Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi. Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
  18. Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  19. Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
  20. L

    Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…