Waziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.
Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?
Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.
Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja...