utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa, Eneo la Bismarck Rock Mwanza, leo Januari 30, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja. https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
  3. B

    Kikwete asema mifumo mipya mitatu ya Utumishi itasaidia kupima utendaji na kujibu kero za wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  4. The Sheriff

    Unapimaje utendaji wa chama chako cha siasa? Je, unakubaliana na kila wanachoeleza wametekeleza au unahoji na kuutafuta ukweli?

    Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza kupima utendaji wa chama chetu cha siasa. Je, tuamini kila wanachotuambia, tukikubaliana na kila hatua...
  5. S

    Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  6. Day 1 gongs

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO unaamini katika uchawi au utendaji kazi?

    Habari members, Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
  7. Suley2019

    Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  8. Kariakooking1978

    Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  9. benzemah

    CCM haina Shaka na Utendaji wa Waziri Mkuu Majaliwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni...
  10. Leonce jr

    Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  11. Roving Journalist

    Balozi Hassan Simba: Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ijitegemee ili kukidhi mahitaji ya sasa ya Jumuiya hii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Kamati Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/VsXnOx4lr3U?si=uW9N1rjK-vSrKI8l...
  12. C

    Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  13. J

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  14. M

    Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  15. F

    Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
  16. K

    Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  17. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  18. R

    TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  19. BARD AI

    NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  20. Just Distinctions

    Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
Back
Top Bottom