Katika utawala wake ni wakati wakulima wengi tunanufaika na sera zake za kufungua nchi, mbaazi kutoka kuuzwa tshs 150 Hadi mnada wa juzi chama kikuu Cha TENECU Newala bei ya juu 2160 na ya chini 2050.
Ufuta ndio umevunja rekodi, muhogo tulikuwa tunalisha nguruwe tu Leo gunia ni 90,000, Mahindi...