uteuzi rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Wateuliwe watu wenye uwezo kuongoza Bodi za UDART na DART. Tenguzi na teuzi hazisaidii kama Utaalam na uwezo vimewekwa pembeni.

    Katika nchi yoyote ile Duniani khasa kwenye miji yake mikubwa ni lazima kuwepo na mifumo imara na madhubuti ya usafiri na usafirishaji. Mifumo bora ya usafiri (transport system) inapokosa muunganiko kati ya ubunifu (plan) na miundombinu (infrastructure) hutokea kushindikana kwa ufanisi wa mifumo...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Jaji Mkuu mstaafu Ibrahim Hamis Juma kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Wakuu, Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Dkt. Deo...
Back
Top Bottom