Uteuzi: Rais Samia amteua Jaji Mkuu mstaafu Ibrahim Hamis Juma kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Aidha, Dkt. Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Balozi. Dkt. Mwapinga ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR).

photo_2025-06-29_14-47-25.jpg
 
Wangejifunza majaji wa kenya wakiistafu wanasimamia miradi yao ya mitaani,hawarudi tena maofisini
 
Wakuu,

Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Aidha, Dkt. Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Balozi. Dkt. Mwapinga ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR).

View attachment 3388406
Kobaz mnaendelea tu kulamba teuzi kwa fujo. Ndo wakati wenu huu it's now or never.

adriz Tanganian hydroxo Adiosamigo
 
Nisawa na unaniuliza unajua maana ya kuwa mfalme au malkia wa uingereza ? Yes ninajua na anapata maokoto mengi sana bila kufanya kazi yeoyote ya maana.
Ahahahahaha! Kwahiyo hutaki apate maokoto au hutaki kuwepo hicho cheo?
 
Wakuu,

Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Professor Ibrahim Hamis Juma ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Aidha, Dkt. Deo Mwapinga ameteuliwa kuwa Balozi. Dkt. Mwapinga ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR).

View attachment 3388406
Wazee hawa, wakistaafu urumishi, richa ya, kuwa, na, pensheni no no, na, marupurupu, wanatafutiwa sehemu ya kwenda kuzeekea huku wanalipwa! Ila, wale wa kada za, china kama waalimu, polisi,ukistaafu, unapigwa kikokotoo, harafu unashauliwa uweke pesa zako UTT,
 
  • Thanks
Reactions: K11
😂😄

🤣😂😂😂😂😄😄😂😁😁Ndiyo Ukweli
 
Back
Top Bottom