uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

    UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
  2. J

    Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

    CHADEMA wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa. Chebukati na baadhi ya makamisha muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC. Kikosi Kazi hicho...
  3. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  4. Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  5. Mwanajeshi Mstaafu amshtaki Rais Ruto kwa kutengua Uteuzi wake

    Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC). Rukaria amedai kuwa Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla...
  6. J

    Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo

    Na Basilla Mwanukuzi KUNA CHA KUJIFUNZA Aina yangu ya uongozi siku zote na muda wote ilijikita na itajikita katika kwanza kuweka mbele maslahi ya wananchi kwa gharama zote (hata ikibidi kukosa cheo) 2. Pili kuleta matokeo Hakuna jambo kwangu ni hasara kama kua kwenye hali ya kutakiwa kuleta...
  7. B

    Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  8. TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  9. UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  10. Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  11. R

    Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  12. Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

    Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to...
  13. Ipo changamoto katika mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam. Baada ya sintofahamu ya baadhi ya Wateule kukataa kuapishwa katika nafasi waliyoteuliwa, kumezuka na maswali na minong'ono mingi isiyo na sababu. Lakini, yote haya yamesababishwa na kuwepo kwa mawasiliano hafifu baina ya upande wa uteuzi na yule aliyeteuliwa. Kwa akili zangu...
  14. Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  15. Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya izingatie kupandisha vyeo Makatibu Tawala na Makatibu Tarafa, isiokoteze watu kiholela

    Hello hello JF, Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote. Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo...
  16. Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

    Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8 Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi Je, utakubali teuzi au utakataa?
  17. S

    Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  18. Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  19. Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  20. Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…