Moshi/mikoani. Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali.
Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya...
Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA).
Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji.
Jaji Mstaafu Mathew...
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.
Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe.
Kumbe Kafulila alishausoma mchezo ni mwendo wa kusifu na kuimba mapambio yenye sifa na utukufu.
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Diwani Athman atenguliwa ikulu.
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
Amekuja Wambura, lakini hajafanya any positive development katika jeshi la polisi kwa utendaji wake unaolalamikiwa na watanzania wote! Mama Samia kwanini alimbadilisha Siro?
Walio wengi walitarajia mabadiliko katika utendaji wa polisi particularly katika kuzingatia haki za binadamu wanapofanya...
Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani.
Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema?
Kwa Zitto huko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
CCM oyee!
Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli
Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF.
Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
Habarini,
Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi
Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo.
Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali.
Karibuni.
Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea.
Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2
Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi.
Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.