CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated.
Falme za namna hii hizi ni nyakati...
Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
Mumbe hauawi na kuuliza si ujinga.
Hii position imekaa kisiasa na siasani Kuna kutengua na kuchagua.
Ambaye hatenguliwi ni padre tu na ndo Huwa hastaafu lakini askofu na kadinali anastafu.
Sasa kama anastafu kwa Nini akizingua asitenguliee abaki na upadre au uaskofu wake tu?
Au atengliwe...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Katika kikao...
ateuliwa
ccm
halmashauri
halmashauri kuu
halmashauri kuu ya ccm
jokate
jokate mwegelo
kamati kuu
katibu
katibu mkuu
mange
mange kimambi
mkuu
mtu
taifa
uteuzi
uwt
Hii ni baada ya kuteuliwa na Waziri Damas Ndumbaro kuwa Mjumbe wa Basata.
---
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo , Dkt. Damas Daniel Ndumbaro amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya Rais wa wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Prof. Saudin Jacob...
Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa.
Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke )...
Ukiwa mdadisi na mwenye msimamo wa kisiasa wa kutetea maslahi ya umma utaona mwelekeo usiyoridhisha kuhusu teuzi za mama.
Utaona leo kina sabaya, Ally Hapi, na Makonda wote mama kawatupa nje. Tena sabaya akataka kumfunga kwa kesi ya kubumba. Badala yake wale waliyokua wamefumwa wakionesha chuki...
Nimeangalia video ya January Makamba akila kiapo cha ujumbe wa bunge la Africa mashariki, bado naona ni kiumbe Mchanga sana, kiingereza chake ulimi mzito, confidence mbovu, ni aina ya mtu asiye na exposure yoyote. Afadhari ya Bashe.
Napata shida kwenye meza ya majadiliano tutapigwa za uso Kila...
Asalam,
Siasa ni kazi inayohitaji ustadi mkubwa na tafiti nyingi ikiwemo kuzijua hisia za wananchi. Hizi kanuni muhimu sana
1. Kwenye Siasa nenda na agenda za wananchi (Nyerere J.K)
2. Kwenye Ongea lugha ya wananchi, usiongee lugha wanayoelewa, ongea lugha yao.
Kwa kanda ya ziwa CHADEMA...
Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini.
Inasemekana kuwa wakati wa awamu...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
Wasalaam TZ na Dunia,
Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake.
Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa...
Kwa wanaojua kuwa cheo cha naibu waziri mkuu hakimo kwenye katiba yetu, wanahoji kunani ikulu hadi inavunja katiba? Je rais amemteua huyu mwanangu ili kumuandaa Majaliwa kuachia ngazi na Biteko kuchukua mikoba? Je anamuandalia mkwe wake Mchengerwa barabara ya kuwa waziri mkuu?
Je, imekuwaje...
NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho
Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi.
Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM au Naibu Waziri mkuu atakuwa Nishati.
Kuna wakati Hayati Mkapa aliombwa na CCM amfanye Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.