uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  2. Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  3. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme

    Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka? Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme. Hakika mama...
  4. Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  5. Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na...
  6. K

    Tatizo la Maji Mwanza: Mamlaka itengue uteuzi wa Mkurugenzi wa MWAUWASA

    Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba. Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini...
  7. SoC03 Kuzingatia kariba za watu kwenye usaili na uteuzi kutachochea uwajibikaji

    UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi bora. Pamoja na ujuzi na uzoefu wa watu, ili kuteua au kupata wafanyakazi wenye weredi na ufanisi...
  8. SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  9. Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  10. Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  11. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  12. R

    Bunge laidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa (NIS)

    Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS). Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi ya Philip Kameru ambaye anatarajiwa kustaafu baada ya kuwa madarakani NIS tangu Septemba 2014. Rais...
  13. Uteuzi: Rais ateua Makatibu Wakuu Watatu na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). ii) Amemteua...
  14. Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama ifuatavyo:- 1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi; 2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia masuala ya Siasa kuwa...
  15. Rais Samia ateua Mtendaji Mkuu TANROADS na Naibu Makatibu Wakuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- 1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barbara Tanzania (TANROADS). 2. Amemteua...
  16. Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  17. Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
  18. Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

    Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi. Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama. Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha...
  19. Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

    Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro...
  20. F

    Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…