Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi.
Nimekimbilia dispensary nimepimwa
Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr 65, damu14.6, nkakutwa na UTI 25 na typhoid.
Je, nauliza UTI huweza sababisha kichwa kuuma hivi...