Matumizi ya muda mrefu ya nepi za kutumia na kutupa za watoto maarufu pempasi yamekuwa yakisababisha athari kwa kundi hilo huku walio wengi wakipata magonjwa ya ngozi na mfumo wa mkojo yaani UTI.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Oktoba 23, 2023 na Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi...
Yamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai.
Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja?
Bajet yake ni sh ngap?
Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo.
Natanguliza shukran
Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:
1 Maumivu mkali ya mgongo
2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo)
3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha
4 Maumivu ya shingo na mabega
5 Vichomi sehemu ya kiuno
Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.
Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi
A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..."
"...Hivyo tunapoona wakandarasi...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji kuweka mkazo katika kuleta mabadiliko na kuboresha utawala bora na uwajibikaji katika sekta hii...
Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home.
Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani...
Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu?
Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili?
Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana
Location huku Tabata Kuna hatari...
Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?
UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo.
Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E...
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo.
Vilevile, imebainishwa...
Jiepushe na Maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu – UTI (Urinary Tract Infections)
Anaandika Dr MSANGY. 0752591744/0682080069
UTI – Ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa katika mfumo wa mkojo – kuanzia katika figo (kidneys) unapochujwa mkojo hadi katika sehemu ya kukojoa yaan urethra. UTI...
Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina la SHEBY THE DON kufanikisha ndoto ya Familia yake kupata Elimu ya juu kwa wadogo zake wawili Nuru...
Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam.
Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali mbalimbali, ili kuthibitisha malalamiko ya Mwanahamisi.
Jaribio la kwanza ‘‘Saa 6:30 mchana natoka Mabibo...
“Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam.
Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.