Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili,
Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya.
Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...