Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea..
Ahmed Ally nlitegemea angekuwa na cha kujifunza katika hilo. Kuwa msemaji wa kisasa mwenye weledi. Ameeenda kuangukia kwenye...
Wanafunzi hao ni kati ya 130 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2019 kutoka Shule ya Sekondari Kishinda wilayani Sengerema ambao wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu hizo.
Baada ya kupokea taarifa ya shule wakati wa Mahafali, Diwani wa Kishinda, Shokolo Vicent ametoa maagizo kwa...
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto.
Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunilawiti Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu.
Uwa nakutana naye na ana watoto wa kike na amemuoa...
Nawasalim wanaJF.
Kwema? Je umekulia mjini au kijijini?
Nimekumbuka enzi hizo maisha ya kijijini yalivokua nikaona nishee na wadau. Kwa tulioishi au kukulia kijijini kila mmoja anakumbukumbu ambayo akikaa anaweza kukumbuka kua mazingira ya kijijini ndo yaliwezesha hiyo kumbukumbu. Nikimaanisha...
Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo.
Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha...
Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa.
Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote.
Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi.
Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe?
Je, hawa vijana watatumia madaraka...
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake.
Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi...
Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha...
Nikiwa Home nikiwaangalia watoto wangu naona kama utoto wao hauna kashikashi nyingi kama enzi zangu. Nikikumbuka enzi zile malezi yake kama jeshini vile..na taarifa nyingi tulikuwa tunafichwafichwa.
Mfano
(1) Akizaliwa mtoto Home, mnadanganywa mama ameenda kumnunua mtoto hospitali.
(2)...
Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji wengi wakicheza na Vilabu vya Simba na Yanga hua wanao, wakicheza Kitimu, Wakijiamini na Kupambana...
Habari wakuu
Imepita takriba miaka kadhaaa toka niachane na JF kutokana na majukumu mbalimbali,
Sasa leo nmelog in ila nimejikuta naona aibu mwenyewe kwa nyuzi nilizokuwa na post sijui utoto dah ya nimechek mwenyewe.
Maisha ya utoto raha sana!
Japo ni mwana Simba SC lia lia ila kwanini nawapenda Yanga SC ( hasa Kiuchezaji ) ni kwamba Wachezaji wao hata kama wameshinda lakini muda Wote wa Mchezo wanakuwa very committed kutaka Ushindi zaidi na Wanahamasishana muda wote na Umakini ukiwa ni wa hali ya juu na kamwe hawabweteki tofauti na...
Anaandika Dk Yahya Msangi (Phd) West Afrika
Kwa kweli Tanzania hakuna vyama vya kuweza kuitoa CCM!
Hebu fikiria: Sasa hivi kuanzia BBC, DW, SPACE mjadala ni nani yuko sahihi kuhusu kuachiliwa Mbowe (mtuhumiwa wa ugaidi).
Mosi: katika utawala wa sheria na wa kidemokrasia ni mahakama pekee...
Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Anakua na michezo ya kuchezea na nguo zinazohitajika kwa wakati, mfano za kukalia, za shule, za ibada nk.
Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni...
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.
Gwajima-huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.